Paroles de Bonoko
Paroles de Bonoko Par KABI WAJESUS
Huyo si mwizi anauza nyama pale Ngara
Sasa amekutiliwa akikojoa na hawa ma askari
Sasa kuona hatawangojea akatoka mbio
Akatoka mbio, akatoka mbio
Ndio akapigwa risasi
Sa kupigwa risasi, akauliwa
Sasa kuuliwa, sasa kuuliwa, sasa kuuliwa
Wakakuja na kitu inaitwa
Bonoko, bonoko bonoko (Okey)
Bonoko, bonoko bonoko (Okey)
Bonoko, bonoko bonoko (Okey)
Bonoko, bonoko bonoko (Okey)
Wakamuekelea (Bonoko)
Wakamuekelea (Bonoko)
Hata juzi wameua mwenzeutu jana pale
Na wakamuekelea
Huyo sio mwizi, huyo sio mwizi
Sio mwizi hata wewe utauliwa bure na uekelewe
Na hio ukipigwa unawekelewa
Na unajua hio hauwezi jitoa
Alitolewa mbio, akakuja kama
Si unajua wewe huwezi ngojea askari
Na wewe huna pesa ju utaenda jela
Na unajua jela ni kutese-
Bonoko, bonoko bonoko (Okey)
Bonoko, bonoko bonoko (Okey)
Bonoko, bonoko bonoko (Okey)
Bonoko, bonoko bonoko (Okey)
Na ni bure, na sio kuiba umeiba
Hata juzi wamewekelea mwenzetu usiku
Na watu wa soko walikuwa wamejaa hapa wote
Na wanamjua
Bunduki fake, bonoko
Bunduki fake, bonoko
Bunduki fake
Sasa inabidi hata wewe ujizuie
Ju ukienda jela utateseka bure
Tuseme huko huko hukuli na unapigwa
Tuseme huko huko hukuli na unapigwa
Bonoko, bonoko bonoko (Okey)
Bonoko, bonoko bonoko (Okey)
Bonoko, bonoko bonoko (Okey)
Bonoko, bonoko bonoko (Okey)
Ecouter
A Propos de "Bonoko"
Plus de Lyrics de KABI WAJESUS
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl