JAH PRAYZAH Ndoenda cover image

Paroles de Ndoenda

Paroles de Ndoenda Par JAH PRAYZAH


Wasafi Records
Ey yeahh hmmm… Tu tuuruu tu tuu hmm

Ooh  baby mwagala
Mwenzako jana sijalala
I’m thinking about you (haaa)
Mi mshamba wa mbagala
Nikiwaza wa vipara
Presha yaja juu hmmm (aaah)
Chunga usije nimwaga
Nyama na tonge
Miuno yakimakonde
Nita tapatapa we ndo
Chanda chema
Wasokupendaga
Waona dongee (ooh iyee)
Mara bi shonde
Wasiji wakapata Insta vyakusema
I phone matilio
Kila siku zinatoka (aaahh)
Nisitiri mwenzio nnasimu ya goroka
Kila siku vilio
Kuumizwa nimechoka (aaah)
Pesa mbali fagio zisije
Zikakuchota
Mimi nawe

[CHORUS]
I love you
Barafu wa moyo wangu
Nakupenda wewe
I love you
Ridhika na hali yangu
Nizikwe na wewe
I love you
Ungambata moyo wangu
Ndoendane we
I love you
Hee eeh ndoendane we

Jalii wangu kufomba kwa ubongo
Hee Mindonage maswaa
Jalii wangu kufomba kwa ubongo
Hee Mindonage maswaa
Namuyangu ili mufungo (ayeyeyeee)
Lujisime ungachinja fungo
Namuyangu ili mufungo (ayayaya)
Lujisime ungachinju fungo

Salula (sasa)
He salula (sasa)
Nipinde mkati (sasa)
Lemoyo auu (sasa)
Eeeh ehh
Kukapata bahati (sasa)
Nimekosa silwachi (sasa)
Nikabisi moyo (sasa)
Eeeeh (sasa)

[CHORUS]
I love you
Barafu wa moyo wangu
Nakupenda wewe
I love you
Ridhika na hali yangu
Nizikwe na wewe
I love you
Ungambata moyo wangu
Ndoendane we
I love you
Hee eeh ndoendane we


 
Ndoenda Tanzania leo (ainabhee)
Ainabhee namai vangu (ainabhee)
Ainabheee nkute tughahilaah
(Ainabheee)
Asa twende bongo (ainabhee)
Oooh bongo (ainabhee)
Bongo mamaa (ainabhee)
Ainaaa
Tungo na bababaa (ainabhee)
Ku Zimbabwe (ainabhee)
Zimbaambabwe (ainabhee)
Nighula tisee eeh (ainabhee)
Kune masanguwa (ainabhee)
Mfitila ndamoo (ainabhee)
Ahiyee ainabhee...

 

Ecouter

A Propos de "Ndoenda"

Album : Ndoenda (Single)
Année de Sortie : 2018
Ajouté par : Afrika Lyrics
Published : Nov 01 , 2018

Plus de Lyrics de JAH PRAYZAH

JAH PRAYZAH
JAH PRAYZAH
JAH PRAYZAH
JAH PRAYZAH

Commentaires ( 2 )

.
aaron mukandabvute 2020-01-02 12:44:18

the shona lyrics are not correct. I speak both languages Shona and Kiswahili, a native shona speaker

.
aaron mukandabvute 2020-01-02 12:45:29

the shona lyrics are not correct. I speak both languages Shona and Kiswahili, a native shona speaker



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl