Paroles de Tah Tah
Paroles de Tah Tah Par IRENE UWOYA
Mume, naam
Mume wangu, Rabeka Mke wangu
Unakumbuka lile jazmini(Mmh hmm)
Tangu asubuhi huwezi amini
Tea maji tea maji hata kivulini hali haiamki
Nini tena?
Basi leo kila kitu kimenigomea
TV haitaki, redio haitaki,
Jirani haitiki, chakula hakiliki
Na nilipokumywa maji kooni hayapiti mume
Mke wangu punguza deko
Unavyojua nilivyolimiss lako cheko
Nikwambie tu sauti yako
Inaweza uamsha wangu mwiko
Na huku nilipo sipo mama
Unaweza ukanifanya niitafute dettol
Na usiku huu mpaka imara seko(Aaah aah)
Nisubirie nakuja, nisubirie
Sawa bwana, nakusubiri nitafanya nini?
Bara la pwani uko peke yako
Hapalaliki namiss fua lako
Na nilivyomwoga kondeni siendi
Inakuapia njoo mwenyewe ulishe kundi lako mume
Kha shelilahi we mwanamke
Usinifanye niwahi (Usiku huu nifike)
Na nilivyo kimiss kibanda chako cha makuti
Date sweetheart si utanikiss kwenye lips
Huku ukimumuche biskuti
Bwana ee usinifanye nikafukuzwa kazi
Mwenzio tafadhali, wananisikia ujue
Nini bwana si unaongea na mkeo
Sikia bae, mwenzio nimemiss
Macho yako kama koroboi laisha mafuta
Nawe niambie ukipendacho
Kabla ya waume ni kukata
Tah Tah
Ya nini niseme kama sitapata
Tah Tah Tah
Haya usiku mwema mi amor
Sawa usiku mwema mume wangu
Ecouter
A Propos de "Tah Tah"
Plus de Lyrics de IRENE UWOYA
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl