Mapenzi Gani Haya Paroles

IAN MSANII Kenya | Afropop,

Paroles de Mapenzi Gani Haya


Check check basi ingia whatsapp
Uko online na hunitext what's up
Beiby mbona haunijibu ASAP
Kwani whats up?

Kwani sitaki, kurudi pale pale
Sitaki, kufanywa beiby vile vile

Nishakupenda basi beiby sawa(Sawa)
Si unanipenda beiby tuko sawa(Sawa)
Na mbona kila siku kwetu drama
Ni drama ni drama aaah

Dp zako huniumiza sana
Status nayo inanichoma sana
Kila mtu kwako crush how comes?
Nauliza nauliza ah ah

Mapenzi gani haya?
Mapenzi gani haya?
Ya kunifanya mi kuwaza aah
Ya kunifanya mi kuwaza aah

Mapenzi gani haya?
Mapenzi gani haya?
Ya kunifanya mi kuwaza aah
Ya kunifanya mi kuwaza aah

Confirm basi beiby whatsapp
Mara ya tano si mistake whats up?
Promising utachange asap
But you never detach

I want, to be happy with you
Ju nakupenda 
So I'll be patient with you
Nitakungoja ayah

Nishakupenda basi beiby sawa(Sawa)
Si unanipenda beiby tuko sawa(Sawa)
Na mbona kila siku kwetu drama
Ni drama ni drama aaah

Dp zako huniumiza sana
Status nayo inanichoma sana(Beiby beiby)
Kila mtu kwako crush how comes?
Nauliza nauliza ah ah

Mapenzi gani haya?(Niambie)
Mapenzi gani haya?(Nikusikie)
Ya kunifanya mi kuwaza aah
Ya kunifanya mi kuwaza aah

Mapenzi gani haya?
Mapenzi gani haya?
Ya kunifanya mi kuwaza aah
Ya kunifanya mi kuwaza aah

Kama ni mapenzi nitakupa aah
Ata kama hunipendi usije nijulisha aah
Kama ni mapenzi nitakupa aah
Ata kama hunipendi usije nijulisha aah

Sita, acha kukupenda
Acha kukupenda
Nita, zidi kukupenda 
Zidi kukupenda(Ahadi ingilia)

Sita, acha kukupenda
Acha kukupenda
Nita, zidi kukupenda 
Zidi kukupenda(Ahadi ingilia)

Laisser un commentaire