Paroles de Kucheka
Paroles de Kucheka Par HAWA NTAREJEA
Ninavingi vya kusema wajue
Ukweli kuhusu mimi
Umati kwa umati wajue
Kuhusu mimi
Yalonikuta wajue
Porojo wasiamini
Zaidi waniulize mimi
Wajue eeh
Ma radio mbao kwa mtaa zinatangaza
Habari kwa mtandao zinatapakaa
Yao ni miduru nimepoteza
Nimekuwa teja
Hali yangu iliumiza ndugu na jamaa
Amani nikawa sina kwa ukoo wa Rabana
Eeh Mola wabariki wanaoniombea mema
Maana
Nilimiss kucheka
Muda wote simanzi tu
Nilimiss kucheka
Muda wote maswali tu
Jamani
Nashukuru mageni
Niliyaona mageni
Nashukuru mageni
Niliyaona mageni
Hakuna anayependa
Kuishi kwenye hali
Nimekubali ya banga
Kulewa tena bwi chakari
Na silaumu
Walokuzawadi ukawa nami
Wamefanya msaada nipate
Na leo niko fiti
Ma radio mbao kwa mtaa zinatangaza
Habari kwa mtandao zinatapakaa
Yao ni miduru nimepoteza
Nimekuwa teja
Hali yangu iliumiza ndugu na jamaa
Amani nikawa sina kwa ukoo wa Rabana
Eeh Mola wabariki wanaoniombea mema
Maana
Nilimiss kucheka
Muda wote simanzi tu
Nilimiss kucheka
Muda wote maswali tu
Jamani
Nashukuru mageni
Niliyaona mageni
Nashukuru mageni
Niliyaona mageni
God blessing
Am back to life
Hakuna anayependa kuishi kwenye hali
Kwenye maisha kuna mengi nimepitia
Nafurahi kuwashukuru wote walonisaidia
Na silaumu
Walokuzawadi ukawa nami
Wamefanya msaada nipate
Na leo niko fiti
Sijawahi kuona upendo kama huu
God bless you
Am back to life aah
Ecouter
A Propos de "Kucheka"
Plus de Lyrics de HAWA NTAREJEA
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl