Paroles de Atarudi
Paroles de Atarudi Par HARMONIZE
Hey
Na yeye ni mwanadamu
Na dunia tunapita
Kama kupata kwa zamu
Oh zamu, Yangu itafika
Siwezi kana damu
Kesho ataja nizika
Ila ningependa mfahamu afahu
Haya mateso alonipa
uhmm
Tena mwambie ni
aloninyima mimi
Ndo kampa yeah yeaaaaah
Kupata foleni
Nasubiri yangu mimi
Hata ichelewe aye yeaah ooooh
Sina furaha naigiza
Ilimladi watoto wasijihisi vibaya
Huyu mdogo anauliza
Et daddy mama amehama kaya
Cha kujibu sina
Nabaki tu kusema
Atarudi
Atarudi mama
Atarudi
Anawapenda sana
Atarudi
Atawaletea zawadi
Atarudi
Atarudi mama
Atarudi
Atarudi mama
Atarudi
Anawapenda sana
Atarudi
Atawaletea Zawadi
Atarudi
Ziwezi sema sijui tatizo
Hali yangu duni imefanya ukanikimbia
Ni vyema ungefanya maigizo
Mala kumi usingenizalia
Uuuh Inagali mapenzi pekee
Ningesema ni changamoto nijifunze
Amenacha mpwekee
Na watoto niwatunze
Hey
Ila siwezi mlaumu (aaaaa aaah)
Huenda yupo sawa (aaaaa aaah)
Kipato changu kigumu (aaaaa aaah
Kuta bumunda na kahawa (aaaaa aaah
Hey
Ila mwambie aloninyima mimi
Ndo kampa yeye yeah
Kupata foleni nisubiri yangu
Mimi hata ichelewe yeaahh
Sina fyraha naigiza
Ilimladi watoto
Wasijihisi vibaya
Huyu mdogo anauliza
Et daddy mama amehama kaya
Cha kujibu sina
Nabaki tu kusema
Atarudi
Tai atarudi mama
Atarudi
Tai anawapenda sana
Atarudi
Atawaletea zawadi
Atarudi
Atarudi mama
Atarudi
Atarudi eeeeh
Atarudi
Atarudi mama
Atarudi
Anawapenda sana
Atarudi
Atawaletea Zawadi
Atarudi
Ecouter
A Propos de "Atarudi"
Plus de Lyrics de HARMONIZE
Commentaires ( 1 )
It is hard to get what you want in this WORLD
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl