GUARDIAN ANGEL Usinipite  cover image

Paroles de Usinipite

Paroles de Usinipite Par GUARDIAN ANGEL


Usinipite mwokozi, unisikie
Unapozuru wengine naomba usinipite
Yesu, Yesu naomba unisikie
Unapozuru wengine usinipite

Ukiita fish nitapata, jo nitapata
Niishi vile unataka, vile unataka
Bila wewe nitasuffer, ooh nitasuffer
Mi nataka ulipo ndo mi nataka kukaa

Fish nitapata jo nitapata
Niishi vile unataka, vile unataka
Bila wewe nitasuffer, ooh nitasuffer
Mi nataka ulipo ndo mi nataka kukaa

Usinipite mwokozi, unisikie
Unapozuru wengine naomba usinipite
Yesu, Yesu naomba unisikie
Unapozuru wengine usinipite

Eeh kiti chako cha rehema
Oooh napita zama 
Magoti napiga pale
Nisamehe wee

Kiti chako cha rehema
Oooh napita zama 
Magoti napiga pale
Nisamehe wee

Usinipite mwokozi, unisikie
Unapozuru wengine naomba usinipite
Yesu, Yesu naomba unisikie
Unapozuru wengine usinipite

Nakutegemea kama huu wakati
----

Yesu, Yesu naomba unisikie
Unapozuru wengine usinipite

Ecouter

A Propos de "Usinipite "

Album : Usinipite
Année de Sortie : 2020
Copyright : (c) 2020 7Heaven Music.
Ajouté par : Huntyr Kelx
Published : Apr 16 , 2020

Plus de Lyrics de GUARDIAN ANGEL

GUARDIAN ANGEL
GUARDIAN ANGEL
GUARDIAN ANGEL
GUARDIAN ANGEL

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl