Paroles de Roho Wako
Paroles de Roho Wako Par GUARDIAN ANGEL
Mi nakiri kwa kinywa changu
Kwanza bila roho wako mi ni bure, bure sana
Mi nakiri kwa kinywa changu
Kwanza bila roho wako mi ni bure, bure sana
Roho wako ananipa nguvu ya kufanya huduma
Wakati mimi naishiwa nguvu ye ananisukuma
Wanaodhani ni mimi mwenyewe
Basi leo nataka mjue roho wa bwana
Ndiye anayefanya kazi ndani yangu
Wacha roho wako akae ndani yangu
Aniongoze (Aniongoze), Aniongoze (Aniongoze)
Wacha roho wako akae ndani yangu
Aniongoze (Aniongoze), Aniongoze (Aniongoze)
Roho wa Mungu kwa uwepo wako ndio tunanawiri
Roho wa Mungu kwa nguvu zako twasimama imara
Roho wa Bwana ukiwa nasi tuko tofauti sana
Roho wa Bwana
Nataka ukae ndani yangu
Uishi ndani yangu, udumu ndani yangu
Roho wa bwana, ukae ndani yangu
Uishi ndani yangu, udumu ndani yangu
Wacha roho wako akae ndani yangu
Aniongoze (Aniongoze), Aniongoze (Aniongoze)
Wacha roho wako akae ndani yangu
Aniongoze (Aniongoze), Aniongoze (Aniongoze)
Wacha roho wako akae ndani yangu
Aniongoze (Aniongoze), Aniongoze (Aniongoze)
Wacha roho wako akae ndani yangu
Aniongoze (Aniongoze), Aniongoze (Aniongoze)
Ecouter
A Propos de "Roho Wako"
Plus de Lyrics de GUARDIAN ANGEL
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl