Paroles de Hatupangwingwi
Paroles de Hatupangwingwi Par GOTTA CITY
Kichwa mbaya mi psycho
Na ju napenda pesa lazima buda za maitho
Ni tangu lini kuwakoroga ndio biz
Kwani kuna nini? Sikimbizani na mamiss
Mi hukula jaba ndio niroge mniite the goal
Mbona ukuje bila timber utajikuta on the coach
Yoh heshimu city ndio nadai mabiz, siwezi nyonga tai
Ogopa kifo ukidedi ju huchanga hadi doh za ndani
Na tuko biz for real mi hufanya hit...
You gotta better belive huwezi hio ni cheatdown
Nikuwakuta kuta then after kinyau nyau
Siwezi kupita choche time rada ishakuwa chafu
Wakinjaku mbwegze tunanjaku jamo
Vulai daila, mnagwata (Hatupangwingwi)
Tukimonchoka wanasetoka
Kila rima nikutiash (Hatupangwingwi)
Wakinjaku mbwegze tunanjaku jamo
Vulai daila, mnagwata (Hatupangwingwi)
Tukimonchoka wanasetoka
Kila rima nikutiash (Hatupangwingwi)
Wakinjaku mbwegze tunanjaku jamo
Vulai daila, mnagwata (Hatupangwingwi)
Tukimonchoka wanasetoka
Kila rima nikutiash (Hatupangwingwi)
Morio lenga mbele man I respect desire
Mtaani kuna gere zile sources ni mbaya
Boy anaeza mangwa ati amecompare na hawa
Wale watu si wamefunzwa tu ku open the fire
Ni noma sana ju chini hakuna foundation
Hizi lawama ndio sa mnaita collection
Vile nawaza ni mkuki inarushwa ghetto
Na kwetu hukazana ndio tupass hii suggestion
Ajabu siwafikii nyi mnamada bila shame
Ongoza juu ni sisi mnaezakaza kwa hizi game
Na moja akieza rada zile rada za maplain
Pia ni nchi huru ka ile ya Obama na MacCain
Hatuwezi ficha, ni kama mmetufika
Mmetusinya hamwezi fichwa
Na mbona mnazikata kama miwa hamwoni shida
My sister nimepambwa kutuumiza
Ghetto youth we dey hustle we no boycott
Na nyi warazi mnatumapi na hizo false hope
Mara wapi, mara nani atatupea job
Wacha tumedi tukijipin mtatuzitoa jo
Either turidhike tushawarada nyi mabombshell
Na hizi injili nyingi mnasambaza ni maconmen
Boy anaenda missing na mmesunda pale bunge
Nafeel niko low siwezi ruka hii walai fika
Enda huko Kamiti utaona sisi ndio tumejaa
Akili nyingi nini na umendasu kijana
Tunakufuata sisi ndo ujibonge ni balaa
Kama ngori za kuforge pia ni crime kwa hii masaa
Hatupangwingwi!
Wakinjaku mbwegze tunanjaku jamo
Vulai daila, mnagwata (Hatupangwingwi)
Tukimonchoka wanasetoka
Kila rima nikutiash (Hatupangwingwi)
Wakinjaku mbwegze tunanjaku jamo
Vulai daila, mnagwata (Hatupangwingwi)
Tukimonchoka wanasetoka
Kila rima nikutiash (Hatupangwingwi)
Wakinjaku mbwegze tunanjaku jamo
Vulai daila, mnagwata (Hatupangwingwi)
Tukimonchoka wanasetoka
Kila rima nikutiash (Hatupangwingwi)
Ulipenda mbele man I respect desire
Mtaani kuna gere zile sources ni mbaya
Boy anaeza mangwa ati amecompare na hawa
Wale watu si wamefunzwa tu compell this fire
Njanamo piga tourture elpocha
Raligene alishanauwo si ni mavete
Tanimili naye alimaliza na mwili
Disma alinichai mirista akanimapi
Ndwanzi fulani kubanja riba za chweng'a
Kunitrace nido hanaku ndeng'a
Huyu mdanzu tulimwacha dilemma
Mirista si ni nyingi bado buda huwezi hema
Ju buda zabe ukikaba na mororo
Kuna venye walinishukishia hawa mamorio
Ile time jo nikiwa ndogogio
Ile time jo nikiwa ndogogio
Ngumi ni jamo si limbi
Gotta City tubambigwi
Kanairo kusaka shilingi
Mziki fisa ipigwe tifi
Ecouter
A Propos de "Hatupangwingwi"
Plus de Lyrics de GOTTA CITY
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl