GNAKO Acha Dharau cover image

Paroles de Acha Dharau

Paroles de Acha Dharau Par GNAKO


Aaiiiiiiiiiii Mhhhh Haaaaaaa
Acha Dharauu (Acha Dharauu)
Acha Dharauu (Acha Dharauu)
Acha Dharauu (Acha Dharauu)
Acha Dharauu (Acha Dharauu)

Bia mbili tu, (Acha dharauu)
Ndio ukagonge, (Acha dharau)
Chupa ya pombe, (Acha dharau)
Ndio ukarambe, (Acha dharau)
Ujaonaga, Makuungaga
Watu wanahonga magariii Nyumbaaa Kaka

Acha Dharauu (Acha Dharauu)
Acha Dharauu (Acha Dharauu)
Acha Dharauu (Acha Dharauu)
Acha Dharauu (Acha Dharauu)
Acha Dharauu (Acha Dharauu)
Acha Dharauu (Acha Dharauu)
Acha Dharauu (Acha Dharauu)
Acha Dharauu (Acha Dharauu)

Unaunga unga, Tusitishane
Oooooh mara TISS Mi usalama
Acha Dharauu (Acha Dharauu)
Acha Dharauu (Acha Dharauu)
Acha Dharauu (Acha Dharauu)
Acha Dharauu (Acha Dharauu)

Mara oooh unanijua mimi nani
Kwani we nani..? Kwendraaaaa
Kwani sh ngapi...? Acha Dharauu
Ndio sh ngapi, Acha Dharauu
Wapi Bill Gates. Ameshalamba vumbi
Acha Dharauu (Acha Dharauu)
Acha Dharauu (Acha Dharauu)

Huu usawa wa mama, Acha Dharauu
Sio wa baba, Acha Dharauu
Tutajuana Acha Dharauu
Kiunaga ubaga Acha Dharauu
Gagaguguguu agagugugu gagagaguguguu
Wagumu tunadumu sio kwa ndumu
Acha Dharauu (Acha Dharauu)
Acha Dharauu (Acha Dharauu)
Acha Dharauu (Acha Dharauu)
Acha Dharauu (Acha Dharauu)

Imeisha iyooo

Ecouter

A Propos de "Acha Dharau"

Album : Acha Dharau (Single)
Année de Sortie : 2022
Ajouté par : Farida
Published : Feb 04 , 2022

Plus de Lyrics de GNAKO

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl