Paroles de Ngotha ya Mama
Paroles de Ngotha ya Mama Par G-ROCK MUSIC
Tafuta kwanza kitu ya maana
Ikus hazina maana zinakam kimala
Chorea jo madhambi na ngotha ya mama
Chorea tu urazi ka ngotha ya mama
Tafuta kwanza kitu ya maana
Ikus hazina maana zinakam kimala
Chorea jo madhambi na ngotha ya mama
Chorea tu urazi ka ngotha ya mama
Niko Jogoo road kuja nikupee kokoriko
Kananyesha amejaa mafuriko
Arap Moi anataka hiyo rungu
Ka ni Coke fest niko na padlock ya mkundu
Nani ananunia nunu
Nainunua ndo ichape ka supu
Hakuna nyasi lakini alifyekwa
Nduru akitekwa, akishaseswa nampitisha kwa Seska
Tafuta kwanza kitu ya maana
Ikus hazina maana zinakam kimana
Chorea jo madhambi na ngotha ya mama
Chorea tu urazi ka ngotha ya mama
Tafuta kwanza kitu ya maana
Ikus hazina maana zinakam kimana
Chorea jo madhambi na ngotha ya mama
Chorea tu urazi ka ngotha ya mama
Chorea hizo dhambi omba msamaha
Chorea hao masponyo tafuta vijana
Tabia mbaya unafua hadi ngotha ya mama
Ukiwhine unashtua hadi kina mama
Ngoja kwanza, hii ni mbaya
Niliacha wamefura sai ndo kumaka
Dhambi nyingi chora tattoo na marker
Kako highschool ndo tujue ni kabad girl
Tafuta kwanza kitu ya maana
Ikus hazina maana zinakam kimala
Chorea jo madhambi na ngotha ya mama
Chorea tu urazi ka ngotha ya mama
Tafuta kwanza kitu ya maana
Ikus hazina maana zinakam kimala
Chorea jo madhambi na ngotha ya mama
Chorea tu urazi ka ngotha ya mama
Nadai tu ukitingisha
Mi napenda haga ukibiringisha
Ukisha shasha shasha
Mi nitatoka mbio utahakikisha
Mimi huikula akinyora
Mimi ni mzee na bakora
Mrazi rudi ocha
Huku unachorewa kama ngotha
Magwaa shasha brake ndo ilikuwa aluta
Mama ashableki na ilikuwa aluta
Shangaza na zikianza kulipuka
Nakaza nakaza ki kamasutra
Maculture inabrake ndo ilikuwa aluta
Mama ashableki na ilikuwa aluta
Shangaza na zikianza kulipuka
Nakaza nakaza ki kamasutra
Tafuta kwanza kitu ya maana
Ikus hazina maana zinakam kimala
Chorea jo madhambi na ngotha ya mama
Chorea tu urazi ka ngotha ya mama
Tafuta kwanza kitu ya maana
Ikus hazina maana zinakam kimala
Chorea jo madhambi na ngotha ya mama
Chorea tu urazi ka ngotha ya mama
Ecouter
A Propos de "Ngotha ya Mama"
Plus de Lyrics de G-ROCK MUSIC
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl