
Paroles de Uliza Kiatu (Cover)
Paroles de Uliza Kiatu (Cover) Par EUGENE ASIRA
Well you see love
Makes you do crazy things
Ask my shoes, uliza kiatu
And what I went through
To buy you those rings
Ask my shoes, uliza kiatu
Masaibu, ninayoyapitia
Kukupeleka dinner
Uliza Kiatu
Ask my shoes, ask my shoes
Uliza kiatu, uliza kiatu
Nimekopa nikupe, kumbe we ndio kupe
Nang'ang'ana ndio tule
Juhudi zangu bure
I heard that love
Should always make us strong
But now I hope I feel
That they were wrong, ask me why
Nasema taxi nilipe, rent mi nikupe
Nywele zisongwe, Mombasa si twende
Mapenzi nikupe, mpaka we uridhike
Ask my shoes, ask my shoes
Uliza kiatu, uliza kiatu
Eeeh...
Ecouter
A Propos de "Uliza Kiatu (Cover)"
Plus de Lyrics de EUGENE ASIRA
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl