Wasamehe(Remix) Paroles

ENOS RAJI Feat GOLD BOY Kenya | Gospel,

Paroles de Wasamehe(Remix)


Naona mawingu yanapita
Sawa na jua linawaka eeh
Siku nazo zazidi songa
Baba eeh

Mabaya nayo wanazidi tenda
Kila siku za kalenda
Hivi kiukweli inaniuma mimi

Mbona? Ila binadamu 
Hawakosi ya kwao kasoro
Anati- na hawataki kusikia neno

Ila binadamu 
Hawakosi ya kwao kasoro
Anati- na hawataki kusikia neno

Wasamehe Baba
Hawajui wanachofanya
Wasamehe Mola
Hilo ndilo ombi langu

Wasamehe Baba
Hawajui wanachofanya
Wasamehe Mola
Hilo ndilo ombi langu

Kuna yanoliza moyoni
Mengine makali shubiri
Tena yananiumiza kiundani
Ila Mola wangu ndo ananiamini

Wengine wamejawa na chuki
Hawataki niendelee kimziki
Kila kukikucha mitandaoni
Mbona Jah Rabbi

Mbona? Ila binadamu 
Hawakosi ya kwao kasoro
Anati- na hawataki kusikia neno

Ila binadamu 
Hawakosi ya kwao kasoro
Anati- na hawataki kusikia neno

Wasamehe Baba
Hawajui wanachofanya
Wasamehe Mola
Hilo ndilo ombi langu

Wasamehe Baba
Hawajui wanachofanya
Wasamehe Mola
Hilo ndilo ombi langu

Wacha mapenzi yako yatendeke
Fadhili zako zitulinde
Na wema wako utufuate

Wacha mapenzi yako yatendeke(Ndeke)
Fadhili zako zitulinde(Linde)
Na wema wako niuone

Wasamehe Baba
Hawajui wanachofanya
Wasamehe Mola
Hilo ndilo ombi langu

Wasamehe Baba
Hawajui wanachofanya
Wasamehe Mola
Hilo ndilo ombi langu

Laisser un commentaire