Paroles de CCM Magufuli
Paroles de CCM Magufuli Par ENOCK BELLA
Magufuli baba la wana
Simama wakuone
Wala utabasamu tu
Ye kamoyo kanatusakama
Ka ugonjwa wapone
Imani simama kwako tu
CCM chama chameremeta
Wapinzani hoi kabisa
Washindwa furukuta aai
Yaani bila kusita
Kura yangu umepata
Sibabaiki kabisa
Tena wataisoma namba
Magu umekiwasha (Pilipili pilipili)
Wanaumia aah, yoyo (Kwelikweli kwelikweli)
Baba umekiwasha (Pilipili pilipili)
Mpaka hali hawana tena ooh (Kwelikweli kwelikweli)
Kwako neno sina (Unavyong'aa)
Wanapata homa (Unavyong'aa)
Hoi kwao (Unavyong'aa)
Aiyoiyo (Unavyong'aa)
Aah eeh (Unavyong'aa)
Wanapata homa (Unavyong'aa)
Hoi wao (Unavyong'aa)
Aiyoiyo (Unavyong'aa)
Baba nchi mmeijenga
We Tanzania tunafurahi
Miundo mbinu yenye ubora
Si masihara tunaienjoy
Maendeleo kwa kila kata
Elimu afya havisumbui
Zisiwe mbio za kijiti
Wakatupora maadui
CCM chama chameremeta
Wapinzani hoi kabisa
Washindwa furukuta aai
Yaani bila kusita
Kura yangu umepata
Sibabaiki kabisa
Tena wataisoma namba
Magu umekiwasha (Pilipili pilipili)
Wanaumia aah, yoyo (Kwelikweli kwelikweli)
Baba umekiwasha (Pilipili pilipili)
Mpaka hali hawana tena ooh (Kwelikweli kwelikweli)
Kwako neno sina (Unavyong'aa)
Wanapata homa (Unavyong'aa)
Hoi kwao (Unavyong'aa)
Aiyoiyo (Unavyong'aa)
Aah eeh (Unavyong'aa)
Wanapata homa (Unavyong'aa)
Hoi wao (Unavyong'aa)
Aiyoiyo (Unavyong'aa)
Magufuli, baba piga kazi
Mama Samia Suluhu Hassan, piga kazi
Oooi ooh, Majaliwa piga kazi
RC Makonda, eeh baba piga kazi
Mashiruali ooh piga kazi
Tanzania ya leo, Tanzania ya wachapa kazi
CCM hoyee, CCM hoyee
Mapinduzi daima, leo CCM hoyee
Ecouter
A Propos de "CCM Magufuli"
Plus de Lyrics de ENOCK BELLA
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl