
Paroles de I Love You
Paroles de I Love You Par ECHO
My sweet baby kukuachaga siwezi mmmhh
Aki i am ready nipigwe hadi ni dead mmmhh
My sweet baby kukuachaga siwezi mmmhh
Aki i am ready nipigwe hadi ni dead mmmhh
Mwenzako namoyo wa chupa
Najiona nimabahatika
Kwa raha unazonipa wewe
Nichune nibaki mifupa
Delila nimi nisiwe yuda
Nizamishe kwa la kwako huba wewe mmmhh
Wakipiga makelele si twende mbele
Waona gere hao
Footballer niwe pele nimwage mchele
Kisha wadone hao
Wakipiga makelele si twende mbele
Waona gere hao
Footballer niwe pele nimwage mchele
Kisha wadone hao
I love you zaidi ya neno lenyewe
I love you moyoni mwangu upo wewe
I love you zaidi ya neno lenyewe
I love you moyoni mwangu upo wewe
Nimezama mazima kama zoba kwako wewe
Umeniteka mtima moyo wangu kwako wewe
We ndo furaha ya moyo wangu
Mtabibu wa magonjwa yangu
Vimiliki vyote vya kwangu
Langu lako lako la kwangu
Ooh sweet Nikikosa niwie radhi baby
Ooh swwt niki radhi niwe kijakazi wako wewe
Ooh sweet Nikikosa niwie radhi baby
Ooh swwt niki radhi niwe kijakazi wako wewe
Wakipiga makelele si twende mbele
Waona gere hao
Footballer niwe pele nimwage mchele
Kisha wadone hao
Wakipiga makelele si twende mbele
Waona gere hao
Footballer niwe pele nimwage mchele
Kisha wadone hao
I love you zaidi ya neno lenyewe
I love you moyoni mwangu upo wewe
I love you zaidi ya neno lenyewe
I love you moyoni mwangu upo wewe
Ecouter
A Propos de "I Love You"
Plus de Lyrics de ECHO
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl