
Paroles de Kesho
Paroles de Kesho Par DRAGON
Namshukuru Mola kwa kunipa uzima
Afadhali leo kuliko ya jana
Alhamdulilahi nitavuka si haba
Kila kukicha
Yanazaliwa mapya
Najiona niko hapa hapa
Namshukuru Karima
Kanipa moyo wa subira
Nivumilie
Ndo maana
Namuomba sana nami anilinde
Ifike siku moja nami niringe
Stori za kukosa nisizipige
Watoto na mama
Wapatiwe mahitaji yaani
Natamani sana nami niwe nazo
Nipunguze kubeti kufwata nyayo
Natamani kesho ya mabadiliko
Nami niimbe nyimbo ya furaha
To sing like...
Oooh oooh oooh...
Naitamani kesho
Oooh oooh oooh...
Nami nicheze like
Oooh oooh oooh...
Naitamani kesho
Oooh oooh oooh...
Nami nicheze like
Oooh natamani
Tanzania bila HIV
Serikali isipoteze pesa ARV's
Watoto wa mitaani wawe na wazazi wao
Wepewe na dhamani waziishi ndoto zao
Na mwanangu nimuone akifika chuo kikuu
Mungu akipenda niwaone na wajukuu
And I hope(wawe na maisha bora)
And I woun't stop(mpaka niiage dunia)
Natarajia ifike siku nihudumiwe
Bila kutoa kidogo
Heshima nipatiwe kama zile za vigogo
Ajira nipatiwe bila kuchongewa mchongo
Nimechoshwa na misoto (woo)
Natamani sana nami niwe nazo
Nipunguze kubeti kufwata nyayo
Natamani kesho ya mabadiliko
Nami niimbe nyimbo ya furaha
To sing like...
Oooh oooh oooh...
Naitamani kesho
Oooh oooh oooh...
Nami nicheze like
Oooh oooh oooh...
Naitamani kesho
Oooh oooh oooh...
Upendo na amani viendelee(aiya ooh aiya oooh)
Hivi mpaka kesho kwa vizazi vile(aiya ooh aiya oooh)
Oooh niwatunze baba na mama(aiya ooh aiya oooh)
Tanzania mwenye nia vitaweza(aiya ooh aiya oooh)
)
Ecouter
A Propos de "Kesho"
Plus de Lyrics de DRAGON
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl