Paroles de Shosh Gwangi
Paroles de Shosh Gwangi Par DOMANI MUNGA
Shosh yangu ni gwangi yu sanif kwa ploti hata ka kuna giza
Sichezi mimi ni bandi kila scene still aliumiza yoh
Ka sina shilingi za peng najua haringi namanga aringi
Uchumi inatuumiza
Nauza gunga na rizla, gunga na rizla, gunga na rizla
Nauza gunga na rizla, gunga na rizla, gunga na rizla
Nauza gunga na rizla, gunga na rizla, gunga na rizla
Nauza gunga na rizla
Shosh yangu ni gwangi nauza gunga na rizla
Miraa nilipunguza lakini hawaamini nikimanga binji
Ka sina shilingi za pengting na haringi namanga aringi
Hii lifestyle yes napata ngaji lakini inani annoy
Naenda mjini narudi, mjini narudi naget paranoia
Naziuza hamsini hamsini hizi ma gunga na rizla
We lala chini unaeza shoot-iwa kichwa
Last week I made a profit, this week nina mafuta
Sijali njege akinishika na chengerere hakuna mbrrcha
Naishi ka Osama, itos kubebanga ni talanta
Opps wakicheza nashanda manywele na mabeards naachanga
Mtu wangu we na jeshi yako si aki mna maneno
Tusiwahi patana hizi street ju nitakuvunja meno
Hatujali wera yoyote sisi bora faida
Rende imeharibika watakulwa mchana hakuna kusaidika
Product of my nature kuna vitu sifeelingi sorry
Vitu expensive zihunifanyanga nifeel lonely
Shosh yangu ni gwangi yu sanif kwa ploti hata ka kuna giza
Sichezi mimi ni bandi kila scene still angamiza yoh
Ka sina shilingi za peng najua haringi namanga aringi
Uchumi inatuumiza
Nauza gunga na rizla, gunga na rizla, gunga na rizla
Nauza gunga na rizla, gunga na rizla, gunga na rizla
Nauza gunga na rizla, gunga na rizla, gunga na rizla
Nauza gunga na rizla
Shosh yangu ni gwangi nauza gunga na rizla
Shosh huskii hatosh jo ngorea cops walegalize it
Sorry coplo usijali mi ni mtumiaji wa bangi
Haitaki hasira ni rahisi kwanza shika gbag usanif
Na stoi hongo labda mfungie kikolo
Mzae jo hana hemp inabidi inabidi tukule korobo
For two days sasa pedi alinipiga msasa
Mteja hapatikani medi aliingilia siasa
White man bado simpendi hata after wanipe independence
Kitu ya mtu ni deni na usiwai toka ya besh chege
Town unaondekea Hessy yaani still unasafisha teke
Eeh jo hautaki kupatwa na reke
I hope ulipata ile message yenye tulituma na bullets
Hamjui maana ya spending ndo maana mnapenda za bure
Akili yako ndo safest usijijaze ka mbunge
Tie up hio shoelace ushaskia babu wa Swaleh
Sai unadeal na ndugu ya Suleh, kumbe
Shosh yangu ni gwangi yu sanif kwa ploti hata ka kuna giza
Sichezi mimi ni bandi kila scene still angamiza yoh
Ka sina shilingi za peng najua haringi namanga aringi
Uchumi inatuumiza
Nauza gunga na rizla, gunga na rizla, gunga na rizla
Nauza gunga na rizla, gunga na rizla, gunga na rizla
Nauza gunga na rizla, gunga na rizla, gunga na rizla
Nauza gunga na rizla
Shosh yangu ni gwangi nauza gunga na rizla
Ecouter
A Propos de "Shosh Gwangi"
Plus de Lyrics de DOMANI MUNGA
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl