Paroles de Mang'dakiwe Remix Par DJ OBZA


Aah aah aah (Chupa kwa chupa)
Aah aah aah (Chupa kwa chupa)
Aah aah aah (Chupa kwa chupa)
Aah aah aah (Chupa kwa chupa)

Chupa kwa chupa, chupa kwa chupa
Chupa kwa chupa, chupa kwa chupa
Chupa kwa chupa, chupa kwa chupa
Chupa kwa chupa, chupa kwa chupa

Nikilewa sitaki nikaziwe
Niaje msela mbona unanikera
Nikishalewa sitaki nikaziwe
Niaje msela mbona unanikera

Am sorry if I did yo wrong
Nimekukanyaga
Miguu yangu haiwagi strong
Nikishalewanga

Am sorry if I did yo wrong
Nimekukanyaga
Miguu yangu haiwagi strong
Nikishalewanga

Liwalo na liwe sijaumiza mtu
Liwalo na liwe sijanyacha mtu
Aaah nayumba, aah nayumba

Liwalo na liwe sijaumiza mtu
Liwalo na liwe sijanyacha mtu
Aaah nayumba, aah nayumba

Yaz' 'ma ng'dakiwe sakhumbula lutho
'ma ng'dakiwe akekh' ozongitshela
Ah-ah, ah-ah, ng'yazisola
Ah-ah, ah-ah, ng'yazisola
Ah-ah, ah-ah, ng'yazisola

Nikilewa sitaki nikaziwe
Niaje msela mbona unanikera
Nikishalewa sitaki nikaziwe
Niaje msela mbona unanikera

Am sorry if I did yo wrong
Nimekukanyaga
Miguu yangu haiwagi strong
Nikishalewanga

Am sorry if I did yo wrong
Nimekukanyaga
Miguu yangu haiwagi strong
Nikishalewanga

Liwalo na liwe sijaumiza mtu
Liwalo na liwe sijanyacha mtu
Aaah nayumba, aah nayumba
Aaah nayumba, aah nayumba

Ecouter

A Propos de "Mang'dakiwe Remix "

Album : Mang'dakiwe Remix (Single)
Année de Sortie : 2021
Ajouté par : Huntyr Kelx
Published : Jul 23 , 2021

Plus de Lyrics de DJ OBZA

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl