
Paroles de Tulia na Mimi
...
Paroles de Tulia na Mimi Par DARASSA
Watu wakikunyima sifa mi ntakusifia
Kaa nishafuta kiti chako malikia
Huna mpinzani nani wakushindania
Number one penzi limeshikili babe
Jimwage jimwage kama nilivyokuambia
Nikupande pande na kushuka kila njia
Ukitaka kumbatia ukitaka simamia
Ruka tiktaka ukitaka ning’inia babe eeeeehh
Watabamba uwanjani tamba tamba uwamjani tamba
Anajua mashetani yangu yakipanda uwa sivunji chaga navunja vunja kitanda
Penzi langu kama mawingu tanda tanda angani nime tanda
Wengine wanasema nisafiri tanga eti nimerogwa niende nikapate mganga
Watabaùba uwanjani tamba babe tamba oooh
Mi ata sijui nifanye nini
We tulia na mimii
We tulia na mimii
We tulia na mimii
Usije ukanipiga chini
We tulia na mimii
We tulia na mimii
We tulia na mimii
Na kwako sijiwezi
Siwezi hata kubisha
Yameshakuwa mapenzi
Yako mapenzi yana miujiza
Mechi mbaya sichezi
Yangu number tisa
Magoli kama messi
Iwe penalty au magoli ya kichwa
Tahadhari tu nishajifunza mpaka kung fu akitokea
Mwizi nampa mguu huyu babe wangu mimi tu
Tahadhari tu kama ni ngoma ni mchiriku masongombingo
Chumbani isuku na akinipa hanipi kiduchu chu chu chu
Mi ata sijui nifanye nini
We tulia na mimii
We tulia na mimii
We tulia na mimii
Usije ukanipiga chini
We tulia na mimii
We tulia na mimii
We tulia na mimii
Watabamba uwanjani tamba tamba uwamjani tamba
Anajua mashetani yangu yakipanda uwa sivunji chaga navunja vunja kitanda
Ecouter
A Propos de "Tulia na Mimi"
Plus de Lyrics de DARASSA
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl