
Paroles de Uniinue
Paroles de Uniinue Par CHRISTOPHER MWAHANGILA
Natamani nikae hapa, uweponi mwako
Unapo shuka Yesu, unikute hapa
Natamani nikae hapa, uweponi mwako
Unapo shuka Yesu, unikute hapa
Sitamani kutoka hapa, madhabahuni pako
Unapo shuka Yesu, unikute hapa
Sitamani kutoka hapa, madhabahuni pako
Unapo shuka Yesu, unikute hapa
(Uniinue) Baba
(Uniinue) Yesu
(Uniinue Yesu nipandishe juu sana)
Nakutegemea Yesu (Uniinue)
Maishani mwangu mimi (Uniinue)
Wewe ni Baba yangu
(Uniinue Yesu nipandishe juu sana)
Ndio maana daudi mwenyewe alisema
Nalifurahi sana
Waliponiambia twende nyumbani mwa bwana
Ndio maana daudi mwenyewe alisema
Nalifurahi sana
Waliponiambia twende nyumbani mwa bwana
Amani inapatikana nyumbani mwa bwana
Baraka zinaanzia nyumbani mwa bwana
Furaha inapatikana nyumbani mwa bwana
Uponyaji unapatikana nyumbani mwa bwana
Majibu yanapatikana nyumbani mwa bwana
Nyumbani mwa bwana, kuna furaha
Nyumbani mwa bwana
Nyumbani mwa bwana
Nyumbani mwa bwana, kuna uzima eeh
Natamani nikae hapa, nisitoke hapa
Unaposhuka Yesu, ukutane na mimi
(Uniinue) Baba
(Uniinue) Yesu
(Uniinue Yesu nipandishe juu sana)
Nakutegemea Yesu (Uniinue)
Maishani mwangu mimi (Uniinue)
Wewe ni Baba yangu
(Uniinue Yesu nipandishe juu sana)
Nainua macho yangu
Natumaini kwako bwana
Nainua macho yangu
Natumaini kwako Yesu
Nainua macho yangu
Natumaini kwako bwana
Nainua macho yangu
Natumaini kwako Yesu
Wakati sina
Natumaini kwako Yesu
Wakati sina
Natumaini kwako mungu
Nikiwa na tabu
Natumaini kwako mungu
Katika magumu
Natumaini kwako mungu
Najua utafanya, najua utatenda
Najua utafanya, nakungojea hapa mungu
Najua utafanya, najua utatenda
Najua utafanya, nakungojea hapa mungu
(Uniinue) Baba
(Uniinue) Yesu
(Uniinue Yesu nipandishe juu sana)
Nakutegemea Yesu (Uniinue)
Maishani mwangu mimi (Uniinue)
Wewe ni Baba yangu
(Uniinue Yesu nipandishe juu sana)
Uniinue (Uniinue)
Uniinue (Uniinue)
(Uniinue Yesu nipandishe juu sana)
Uniinue (Uniinue)
Uniinue (Uniinue)
(Uniinue Yesu nipandishe juu sana)
Natumaini kwako mungu wangu
Uniinue kutoka chini
Nategemea kwako mungu
Uniinue kwenda juu sana
Ni wewe tu bwana
Ni wewe tu Yesu
Ni wewe tu bwana
Uniinue (Uniinue)
Uniinue (Uniinue)
(Uniinue Yesu nipandishe juu sana)
Uniinue (Uniinue)
Uniinue (Uniinue)
(Uniinue Yesu nipandishe juu sana)
Ni wewe tu Yesu
Ni wewe tu bwana
Ni wewe tu Yesu
Ni wewe tu bwana wangu
Hakuna kama wewe
Yesu Yesu Yesu Yesu
Ni wewe tu bwana
Ni wewe tu Yesu
Ni wewe tu bwana
Ni wewe tu Yesu
Ni wewe tu bwana
Ni wewe tu bwana wangu
Hakuna kama wewe
Yesu Yesu Yesu Yesu
Ecouter
A Propos de "Uniinue"
Plus de Lyrics de CHRISTOPHER MWAHANGILA
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl