Paroles de Itabidi Mkubali
Paroles de Itabidi Mkubali Par CHEPKOSGEI
Chepkosgei amekuja na habari
Najua mmetegea sana hizi mistari
Watu waniitanga mkale mkali
Na sitoki hapa itabidi mkubali
Manze nimetoka mbali, sa itabidi mkubali
Na hata si tafadhali, itabidi mkubali
Told y'all that your gal C will be back home
Sooner that you might think
Sa kutesa ndio form
So I'm sorry if I don't pick up your call
Got a place I gotta go coz a bitch got doh
Niko hapa kuwashow wale walinishuku
Sai wananicheki IG nikipiga luku
Ati eh cheki venye amekuwa kasupuu
Si mniambie kitu sijui nyi makasukuu
Look I see a bright future
When a big fad feature
Manze I might be Zuchu
When a milli views on Youtube
------
Kalenjin language
------
Chepkosgei amekuja na habari
Najua mmetegea sana hizi mistari
Watu waniitanga mkale mkali
Na sitoki hapa itabidi mkubali
Manze nimetoka mbali, sa itabidi mkubali
Na hata si tafadhali, itabidi mkubali
------
Kalenjin language
------
Multilingual and multi-talented
Ni first single but challenge accepted
Naitwa Chelsea but my fans sio one sided
They go from Juve to Manchester United
Chepkorgen straight outta Ziwa
Let me give a shoutout to a real one
It's non other than Chris Kirwa
Many got me feeling kama nimefanikiwa
Ni turn yangu kushine, zingine acha baadae
Najua life ni kutry Imma do till I die
Ni ngumu kunidefine ju nacheza kidesign
Hata ikichukua time hizo deals tu--
Chepkosgei amekuja na habari
Najua mmetegea sana hizi mistari
Watu waniitanga mkale mkali
Na sitoki hapa itabidi mkubali
Manze nimetoka mbali, sa itabidi mkubali
Na hata si tafadhali, itabidi mkubali
Ecouter
A Propos de "Itabidi Mkubali"
Plus de Lyrics de CHEPKOSGEI
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl