Paroles de Najiskia
Paroles de Najiskia Par CHEMICAL
Najiskia kama napagawa
Kama vile nimekula dawa
Najiskia nataka kugawa
Nataka kunawa na nataka kulala
Najiskia nataka kupaa
Najiskia nataka kukaa
Jicho nyanyab chungu cha mkaa huh
Domo zebe zungumzaa huh
Najiskia kama nimefall in love
Najiskia kama ninataka ku go
Najiskia hizo issue nisizisolve
Ku battle battle na watoto no
Mi najiskia chemikali chemilight
Hizi flow tindi kali very bright
Nishakula vyombo ya zawadi, paa Dubai
Kama gari speed hatari, sio brag aah
Najiskia, najiskia(Bombo)
Najiskia najiskia najiskia(Bombo)
Najiskia, najiskia(Bombo)
Najiskia najiskia najiskia(Bombo)
Najiskia wowowo
Najiskia yeyeye
Najiskia wowowo
Najiskia fresh I say
Najiskia kuwa kimalaya
Nidange dange niende zangu Ulaya
Nimpata lijamaa limbakwaya
Ndio nipore pore kila kitu niite faya
Najiskia leo naenda fuba
Sipandi daladala ita Uber
Najiskia poa guda guda
Nikuze minyama niwe kama Huddah Huddah
Najiskia fresh aisee
Au mnasemaje manzee
Kama bata liendelee
Au tupoepoe kwanza aje
So clean nigga, usiniguze
Slow slow na usikurupuke
Njoo njoo ovyo nikurushe
Vile najiskia mwamba X usikumbushe
Najiskia, najiskia(Bombo)
Najiskia najiskia najiskia(Bombo)
Najiskia, najiskia(Bombo)
Najiskia najiskia najiskia(Bombo)
Najiskia wowowo
Najiskia yeyeye
Najiskia wowowo
Najiskia fresh I say
Mwanangu wee
Tushakula vitu vyetu sasa
Ecouter
A Propos de "Najiskia "
Plus de Lyrics de CHEMICAL
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl