CHEGE Top Shatta cover image

Paroles de Top Shatta

Paroles de Top Shatta Par CHEGE


Top shatta, top shatta
Top shatta, top shatta
(Touch)

Iende kwa chini (Top shatta)
Iende kwa juu (Top shatta)
Ukivaa kimini (Top shatta)
Unatoka na mimi (Top shatta)

Aiyaya, aiyaya

Kata kata kata leta
Twanga na kupepeta
Kama fundi natosha veta
Ng'ariba nakukeketa

Top shatta analenga popote
Hata kama kizani, kizani
Tena anakazaga moyo
Naweka rehani, rehani

Sukuma kete 
Na mi nisukume kete aii
Sukuma kete 
Na mi nisukume kete

Iende kwa chini (Top shatta)
Iende kwa juu (Top shatta)
Ukivaa kimini (Top shatta)
Unatoka na mimi (Top shatta)

Aiyaya, aiyaya

African mama
Nyuma hizo nyama
Shatta nimekwama 
Naweka sawa zana

Shekwe! Raha unanipa every morning
Shekwe! Nina rudi utotoni
Shekwe! Mbele ninakuwa mi sioni
Twende mama, twende 
Ado ado, twende mama ado ado

Mpaka nyumani, sukuma kete 
Na mi nisukume kete aii
Sukuma kete 
Na mi nisukume kete

Iende kwa chini (Top shatta)
Iende kwa juu (Top shatta)
Ukivaa kimini (Top shatta)
Unatoka na mimi (Top shatta)

Aiyaya, aiyaya
Aah, aah aah

Iende kwa chini (Top shatta)
Iende kwa juu (Top shatta)
Ukivaa kimini (Top shatta)
Unatoka na mimi (Top shatta)

(Touch)
Take 5 now 

Ecouter

A Propos de "Top Shatta"

Album : Top Shatta (Single)
Année de Sortie : 2020
Copyright : (c) 2020
Ajouté par : Huntyr Kelx
Published : Oct 19 , 2020

Plus de Lyrics de CHEGE

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl