
Paroles de Goalkeeper
Paroles de Goalkeeper Par CEDO
Nimempata anaenipenda
Ooooh anaenipenda
Kanituliza kwa kiganja
Ooooh kwa kiganja
Vichozi chozi vyanirenga
Ooooh vyanirenga
Siamini ka nependwa nalia
Pambania kombe lako
Maana wewe kwangu uko pekeako
Vimba tumbo mama kijacho
Siku zitimie unipe katoto nikalee
Unapendeza ata ukivaa baibui
We ndo mchele nazi tui tui
Kasura kako kaupole ka mdoli
Umeniweza baibe kweli kweli
Goalkeeper we kanidaka
Goalkeeper kanidaka
Goalkeeper we kanidaka
Nmenasa kanidaka
Nameremeta aaeeh
Sikuiz nawakawaka aa eeeh
Amenivuruga vuruga aaeeh
Amenikamata
Sielewi ooh sielewi
Sijui amenipa nini maana sielewi
Sichelewi kurudi sichelewi
Mimi kurudi nyumbani sikuiz sichelewi
Penzi tamu la Kisumu limenasa Nairobi
Napewa vitu vitamu bure silipi kodi
Goalkeeper we kanidaka
Goalkeeper we kanidaka
Nmenasa kanidaka
Nameremeta aaeeh
Sikuiz nawakawaka aa eeeh
Amenivuruga vuruga aaeeh
Amenikamata
Goalkeeper we kanidaka
Goalkeeper kanidaka
Goalkeeper we kanidaka
Nmenasa kanidaka
Nameremeta aaeeh
Sikuiz nawakawaka aa eeeh
Amenivuruga vuruga aaeeh
Amenikamata
Ecouter
A Propos de "Goalkeeper"
Plus de Lyrics de CEDO
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl