Paroles de On Your Door
...
Paroles de On Your Door Par BRUCE AFRICA
On your door
I’m knocking on your door
Nina mapenzi ya ukweli yapokee
Najua upo single
I’m knocking on your door
Umekuwa mpweke usiteseke mwemyewe
I love you nashindwa jizuia
Upo on fire
On fire, i love you
Nashindwa jizuia umenishika pabaya, pabaya
So take my number babe
Call me when you ready
I’ll be here waiting for you
Nitakusubiri tu
Take my number babe (take my number babe)
I’ll be here waiting for you
Nitakusubiri tu
Stop lying to yourself
Eti kuwa single nako ni bingo
Unatamba kweupe
Ukiwa mwenyewe nyumbani kilio
Mkamilifu hapa fikani
Ungana mami kwa safari
Nitakupatia amani usikumbuke ya zamani
Mkamilifu hapatikani ungana name kwa safari
Mkamilifu hapatikani ungana name kwa safari
So take my number babe
Call me when you ready
I’ll be here waiting for you
Nitakusubiri tu
Take my number babe (take my number babe)
I’ll be here waiting for you
Nitakusubiri tu
Ecouter
A Propos de "On Your Door"
Plus de Lyrics de BRUCE AFRICA
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl