Paroles de Wrong
Paroles de Wrong Par BOUTROSS
Kama si cheque
Buda usinicall number ni wrong
Kama si ganji
Acha mtu ajihang'i eey
Wacha wakuwe na makali
Me Bouty naenda kushika makali eey
Buda Niliachanga kusota
Siku hizi nazipanga tu ka mlami eey
Nachorea vile nitasonga mbele
Buda zenyu ni kelele eey
Vile walikuwa wamedoz
Nika mafala wamewekewa matembe eey
Me nikaboy ka mtaani
Lakini niko Karen nikidip walami eeh
Vile nasema ngeus
Siku hizi naitwanga tu hodari eh eh eh
Mistari inatisha
Geri ni kutoka kumi na sita
Vile hii game naiwinda
Nashindwa mbona Bado sijaskika
Buda na vuta umati
Word on the street ni geri ni safi
Bouty ni zawadi ya mtaani
Ya wale wote hawakubali kipaji
Kama si Cheque buda usinicall, number ni wrong
Cheza na thing acha kuniharibia form
Kaa we si peng, buda usinicall number ni wrong(Prrr)
Nadai kadem kamebeba ki Corazon
Mbona ustress Buda mi hubonga na Don
Geri hatari siugeuzanga form
Buda Usitense si lazima ufiche phone
Geri ni safi thought ulijuaga form
Kama ni ndenga
Swali ni mbona bado unadoze tu kavu? eey
Haujaambiwa mandenga
Ndio wanakuwanga namatabia nyaru eeh
Piga pete kitu safi
Mpaka utaambue hiyo pu** ni chafu eey
Wanapendanga ma panya
Juu wao hu skizana tu na mambaru ey
Roho ya watu chafu
Juu niko kwa sofa na hao sakafu
Vile naona mboka ikijipa
Utaniona soon nikidunga barafu eey
Waliita shrap ujinga
Sahii ujinga buda inashika
Hao mangeos wote waliringa
Me nita wadinya buda sitaficha eey
Buda nipate Kwa kitchen
Me sikati me na koroga
Buda ata vile na bonga
Utajuwa maboy wangu wote wako mboka eey
Cheki ngeus wako aliomoka
Vile mus alipull out the rover
Buda ni 2019
Nilidhani watu waliachana na manyoka eey
Vile hii game imetamba
Cheki ma opponents nao wamechoka
Vile huyu dem anagawa
Na bado maboy wandai kuichota eey
Boy jaribu kuzoza
Urudi mtaani na ma face tat za matimba eey
Buda niliachanga number
Ndo usinitafute unaweza piga but
Kama si Cheque buda usinicall, number ni wrong
Cheza na thing acha kuniharibia form
Kaa we si peng, buda usinicall number ni wrong(Prrr)
Nadai kadem kamebeba ki Corazon
Mbona ustress Buda mi hubonga na Don
Geri hatari siugeuzanga form
Buda Usitense si lazima ufiche phone
Geri ni safi thought ulijuanga form
Ecouter
A Propos de "Wrong"
Plus de Lyrics de BOUTROSS
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl