Paroles de Story Ilianza
Paroles de Story Ilianza Par BOUTROSS
This (ooh ooh yaah)
Vile nilipatwa (aye)vile nilipatwa
Yeah yeah yeah yeah
(Ooh yaah) Vile nilipatwa (aye)
Yeah yeah yeah
Story ilianza like this
Vile nilikutana na Peng (Peng)
Haga ilikuwa legit (Legit)
Jegi zilikuwa zinadance (Dance)
So ilibidi nimechora (Chora)
Vile chipo atachotwa (Chota)
Kumbe huyu ngeus anachora (Chora)
Vile Bouti atatokwa (Yeah yeah ayee)
Ngeus alikuwa amepagawa (Pagawa)
Ningejua hapa ni tafash (Tafash)
Alispike up the liquor (Ooh)
Hapa bado nikizama (Nikizama)
Kichakani nilisaka (Ooh)
Nikapata nikawinda (Winda)
Mi ata sikuwa rada (Sikuwa rada)
Nilianza tu kuzima (Aye)
Shawty ran off with a laptop (Laptop)
Chains na Bluetooth speaker
Then nikaenda kwa kitchen (Kitchen)
Ata noodles aliiba (Maze)
Buda ilibidi nimewasha (Aaah)
Nitulie tu nikiwaza (Waza)
Vile huyu ngeus ameshinda(Shinda)
Anajua alimaliza (Yeah aye aye)
Ata nikipiga hiyo mbana (Mbana)
Mteja tu ndio mi naskia (Prrprr)
Ngeus ametambulika (Lika)
Mi nililalia maskio (Mi nililalia maskio)
Buda nilijua nimepatwa (Patwa)
Vile nilikuwa naona anaskwa (Sakwa)
Ilibidi nimewasha (Ayee)
Niendelee tu nikiwaza (Yeah yeah )
Story ilianza like this
Vile nilikutana na Peng (Peng)
Haga ilikuwa legit (Legit)
Jegi zilikuwa zinadance (Dance)
So ilibidi nimechora (Chora)
Vile chipo atachotwa (Chota)
Kumbe huyu ngeus anachora (Chora)
Vile Bouti atatokwa (Yeah yeah ayee)
Story ilianza like this
Vile nilikutana na Peng (Peng)
Haga ilikuwa legit (Legit)
Jegi zilikuwa zinadance (Dance)
So ilibidi nimechora (Chora)
Vile chipo atachotwa (Chota)
Kumbe huyu ngeus anachora (Chora)
Vile Bouti atatokwa (Yeah yeah ayee)
Shida Bouti alipewa hiyo duri vizuri
Bouti aliibonda
Buda hakuuliza mbona tumetoka hiyo dunda
Na dame hajachoka
Kumbe huyo ngeus ako maji
Ju saa sita ya usiku alitema mogoka
Vile nilikuwa mangwai
Hadi nilicheki huyo dame akidoze na toja
But usiku alivyochachisha shawty alipanda
Hadi kwa dirisha
Vile ananyonya anapandisha
Hakuna time mzae alilalishwa
Buda hiyo mtaa inatisha
So ata akisonga mi sikusoma
Ni ka mchele ilikuwa ndani ya cola
Ju nilichoma then nikabonda then kitanda ikabonga
Lakini kitanda ni usiku wa manane
Baridi ilikuwa inanigonga
Ju dem alitumia bedsheet
Kubeba njumu na nguo za Gikomba
Dame alihepa na mali
Lakini aliseti bado nyongi moja
Ratchet intention
Shawty imagine chenye aliniachia ni ngotha
Story ilianza like this
Vile nilikutana na Peng (Peng)
Haga ilikuwa legit (Legit)
Jegi zilikuwa zinadance (Dance)
So ilibidi nimechora (Chora)
Vile chipo atachotwa (Chota)
Kumbe huyu ngeus anachora (Chora)
Vile Bouti atatokwa (Yeah yeah ayee)
Story ilianza like this
Vile nilikutana na Peng (Peng)
Haga ilikuwa legit (Legit)
Jegi zilikuwa zinadance (Dance)
So ilibidi nimechora (Chora)
Vile chipo atachotwa (Chota)
Kumbe huyu ngeus anachora (Chora)
Vile bouti atatokwa (Yeah yeah ayee)
Ecouter
A Propos de "Story Ilianza"
Plus de Lyrics de BOUTROSS
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl