
Paroles de Mdundo
Paroles de Mdundo Par BEN C
Nataka niwe sauti yako
Ndo wakiniona wanakutaja wewe
Wajue hakuna zaidi yako
Mmmh
Nitakaze na upako wako
Kila nikipita inabidi wakiri
Ukweli hakuna zaidi yako
Mmmh
Uguzacho wakipa uhai weee
Mi nakuomba ziguze zangu ndimi
Niimbacho ukipe uhai wee
Mmmh eiyee
Sauti yangu iwe tu high wee
Ya kufika hapo kwako mbinguni
Mziki wangu upe uhai wee
Eiyee mziki wangu
Uwe zaidi ya mdundo
Ujawe na ujumbe, mdundo
Uwe zaidi ya mdundo
Uwepo wako uwe mdundo
Uwe zaidi ya mdundo
Ujawe na ujumbe, mdundo
Uwe zaidi ya mdundo
Uwepo wako uwe mdundo
Najua kuteguka kwangu mara moja
Nikishindana na wezangu kama soja
Nikumbushe hoja letu sote moja
Kwako nisije leta visa na vioja
Nifunze mienendo na yako tabia
Nisije potoka kwa maadili yako
Zishike fikira na zangu hisia
Nisije rudi kwa dhambi kama before
Na nyimbo zangu wakiziskiza
Ziwe zaidi ya kinanda
Zaidi ya mistari iliyopangwa
Wakiniskiza utukufu kwako uzidi panda
Na nyimbo zangu wakiziskiza
Ziwe zaidi ya kinanda
Zaidi ya mistari iliyopangwa
Wakiniskiza utukufu kwako uzidi panda
Uguzacho wakipa uhai weee
Mi nakuomba ziguze zangu ndimi
Niimbacho ukipe uhai wee
Mmmh eiyee
Sauti yangu iwe tu high wee
Ya kufika hapo kwako mbinguni
Mziki wangu upe uhai wee
Eiyee mziki wangu
Uwe zaidi ya mdundo
Ujawe na ujumbe, mdundo
Uwe zaidi ya mdundo
Uwepo wako uwe mdundo
Uwe zaidi ya mdundo
Ujawe na ujumbe, mdundo
Uwe zaidi ya mdundo
Uwepo wako uwe mdundo
Ecouter
A Propos de "Mdundo"
Plus de Lyrics de BEN C
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl