Paroles de Tusamehe
Paroles de Tusamehe Par BASIL KIONGOZI
Jawabu Studios
Saiii Kweli Baba tumekosa mbele zako
Ni Kweli daddy tumekosa mbele yako
Ila najua kwa kutubu tutapona sisi sote
Ila najua kwa kutubu tutapona sote
Ila najua kwa msamaha tutapona sote
Najua tumeasi mbele zako Baba Tena Mbele zako
Tusamehe Hatuna pa kuenda Ila pako tu Baba tusamehe
Matukio matukio mbali mbali yametokea mengi Baba
Matukio matukio mbali mbali yametokea mengi Baba
Mengine ya kuogopesha
Mengine ya kuhuzunisha
Eeeeeeeh Yesu
Ingilia Kati yetu
Shuka tusamehe Baba
Shuka ingilia Kati
Baba
Utusamehe
Shuka Tena ponya nchi zetu
Kwa rehema tusamehe
Najua tumeasi mbele yako
Tenaaa sanaar
Tusamehe
Hatuna pa kuenda Ila kwako tu Baba
Tusamehe
Umeshangaza wengi Bwana Yesu
Tena kwangu nami nishangaee
Umeshangaza wengi Bwana Yesu
Tena Kwangu Nishangaee
Unastaajibisha Bwana Yesu tena Kwangu
Nami nishangaee
Tena Kwangu na Mimi nishangaee
Tenaaa na Mimi nishangaee
Tena na kwangu Bwana na Mimi nishangaee
Tuliamua tunakmba nao wote wamepata majibu
Nami bado
Tena na kwangu bado
Tenda kwangu nami nishangaee
Tuliokua tunashirikia mateso yetu wote wamefanikiwa
Na Mimi bado
Tenda Nami nishangaee
Tenda na Mimi nishangaee
Tenda na Mimi nishangaee
Tenda na Mimi nishangaee
Bwana umeahidi
Na Mimi
Ecouter
A Propos de "Tusamehe"
Plus de Lyrics de BASIL KIONGOZI
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl