
Paroles de Mdogo Mdogo
...
Paroles de Mdogo Mdogo Par APPY
Sawa naunga unga
Papatu papatu
Ili Nitafute vyangu
Niepuke vya watu
Naambulia patupu
Najaza maji kwenye kapu
Naamini kufanikiwa
Ni swala la muda tuu
Ndugu jamaa na marafiki
Wote wamenikataa
Ila naamini
Kesho itakua mpya
Nimejiunga vikoba michezo
Nacheza majina sita
Ila zamu imefika kijumbe amenikimbia ahh
Ntafika mdogo mdogo
Mdogo mdogo
Bado kidogo
Ntafika mdogo mdogo
Mdogo mdogo
Bado kidogo
Hili nalo litapita litapita tuu
Hili nalo litakwisha litakwisha tuu
Mi nachekaga tuu
Ooh ooh ooh
Toka black and white
Yeah ye yeah ye yeah
Nishawahi tamani nimfate bakhresa
Anionyeshe njia zake mana zangu hazitoki (Eh eh eh)
Nishawahi kua macho usiku na kesha
Kutimiza ndoto ambazo nikilala sizioti (Wooh eeh)
Nilishakataliwa na demu mlimani city
Nilipouliza kosa ni lipi
Alicho nijibu mi yule binti
Gari huna kileleni nitafika vipi
Hii dunia ina watu
Na hao watu wana ngebe
Waliniambia nipunguze uzito
Nikitaka Yesu Anibebe
Nilitamani kua rubani
Nirushe ndege
Nimeishia kufuga kuku (Eeh Okay)
Vyote ni ndege
Ntafika mdogo mdogo
Mdogo mdogo
Bado kidogo
Ntafika mdogo mdogo
Mdogo mdogo
Bado kidogo
Hili nalo litapita litapita tuu (yeah yeah yeah yeah eh)
Hili nalo litakwisha litakwisha tuu
Hili nalo litapita litapita tuu (hakuna gumu la kudumuu)
Hili nalo litakwisha litakwisha tuu (mmh mmh mhmm)
Hili nalo
Ecouter
A Propos de "Mdogo Mdogo"
Plus de Lyrics de APPY
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl