ANGEL MAGOTI Way Maker (Swahili Medley) cover image

Paroles de Way Maker (Swahili Medley)

Paroles de Way Maker (Swahili Medley) Par ANGEL MAGOTI


Bwana ni mwokozi wangu
Tena ni kiongozi wangu
ananipeda leo kuliko Jana
Baraka zake hazikwishi
Si kama binadamu habadiliki
Ananipenda leo kuliko jana
 
You are here moving in our midst
I worship you
I worship you
Uko hapa umetuzingira
Nakuabudu
Nakuabudu

Mtengeneza njia
Mfanya miujiza
Mtunza ahadi
Mwanga kwenye giza
Ndivyo ulivyo
Mtengeneza njia
Mfanya miujiza
Mtunza ahadi
Mwanga kwenye giza
Ndivyo ulivyo

You are here touching every heart
I worship you
I worship you
Uko hapa
Waponya wenye shida
Nakuabudu
Nakuabudu

Jesus you love me to much oooh
Jesus you love me to much oooh hoo
Jesus you love me to much oooh
Your love is kind
Your love is true
Nakusifu, Nakuabudu
Natukuza Jina lako

Mtengeneza njia
Mfanya miujiza
Mtunza ahadi
Mwanga kwenye giza
Ndivyo ulivyo
Ndivyo ulivyo

Mtengeneza njia
Mfanya miujiza
Mtunza ahadi
Mwanga kwenye giza
Ndivyo ulivyo
Ndivyo ulivyo

(Mtengeneza njia)
Mtengeneza njia
Mfanya miujiza
Mtunza ahadi
Mwanga kwenye giza
Ndivyo ulivyo
(My God, My God, My Lord yeah)

Mtengeneza njia
Mfanya miujiza
Mtunza ahadi
Mwanga kwenye giza
(Mys sustainer)
Ndivyo ulivyo
In Your name we overcome
In Your name is victory

In the name of Jesus, higher than any other names
King of all kings
No other name like His

Mighty man of war
Lion of Judah
We bow down to worship you

My beautifier
You've taken away my shame
You've taken away my pain
You've made me just like you.

I call your NameJesus
Call his name
Jesus
The healing Name
Jesus
Ooo Jesus
Anaitwa nani
Yesu
Mfalme wa wafalme
Yesu
Mwanzo tena Mwisho
ooo Yesu
Your name is so powerful
Jesus
The healing name
Jesus
The Mighty name
Jesus
Call his Name
Ooo Jesus
In every situation
Jesus
It doesn't matter what you are passing through
Jesus
Call his Name
Jesus
Ooo Jesus

 

 

This medley song was inspired frm the follwosing songs:
Way maker by Sinach + Melody
Excess love by Mercy Chwino
Mighty man of war by Jimmy Psalmist
My beautifier by Chris Shalom
The name of Jesus by Sinach
Kuliko Jana by sauti soul

Ecouter

A Propos de "Way Maker (Swahili Medley)"

Album : Angel Magoti Cover (Album)
Année de Sortie : 2018
Ajouté par : Afrika Lyrics
Published : Nov 19 , 2018

Plus de Lyrics de ANGEL MAGOTI

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl