Paroles de Nimebadilishwa Jina
Paroles de Nimebadilishwa Jina Par ANGEL BENARD
Nimebadilisha jina
Nina nafasi mpya
Si mtumwa tena
Unyonge kwangu hakuna
Natazama ya juu
Nilinayo ni ya muda aah
Nimebadilishwa jina aah
Nina nafasi mpya aah
Si mtumwa tena naaah
Unyonge kwangu hakuna
Natazama ya juu
Nilinayo ni ya muda mmmhh eeeeh
Mimiii, hekalu la bwana
Mti wa mwema
Nimefanywa mwana
Nimebadilishwa jina aah
Hekalu la bwana
Mti wa mwema
Nimefanywa heshima
Hekalu la bwana
Mti wa mwema
Nimefanywa mwana
Hekalu la bwana
Mti wa mwema
Nimefanywa heshima
Nimefanywa utisho
Kwa magonjwa na mapepo
Mimi udhibitisho oooh
Ya kwamba Yesu yupo ooh
Mikono yangu, imetiwa nguyu
Nipate utajiri nisione hasara
Ndani yangu uuuh
Nafurika mema
Wengi wa rehema, nguvu na uponyaji
Ooh mimi
Hekalu la bwana
Mti wa mwema
Nimefanywa mwana
Nimebadilishwa jina aah
Hekalu la bwana
Mti wa mwema
Nimefanywa heshima
Nimefanywa chombo kipyaaah
Hekalu la bwana
Mti wa mwema
Nimefanywa mwana
Nimebadilishwa jina
Hekalu la bwana
Mti wa mwema
Nimefanywa heshima
Nimewekwa juu
Oooh nimewekwa juuu
Pamoja naye eeh
Pamoja naye eeh
Pamoja naye eeh
Nimeketishwa naye eeh
Juu ya magonjwa tuba shibah
Juu ya uzu ni na mashaka
Juu ya hofu zote eeh
Nime wekwa juuuuuu
Hekalu la bwana
Mti wa mwema
Nimefanywa mwana
Nimebadilishwa jina aah
Hekalu la bwana
Mti wa mwema
Nimefanywa heshima
Umeficha uzuri wako ndani yangu
Hekalu la bwana
Mti wa mwema
Nimefanywa mwana
Hekalu la bwana
Mti wa mwema
Nimefanywa heshima
Hekalu la bwana
Mti wa mwema
Nimefanywa mwana
Mwana wa pendo lako oooh
Hekalu la bwana
Mti wa mwema
Nimefanywa heshima
Hekalu la bwana
Mti wa mwema
Nimefanywa mwana
Hekalu la bwana
Mti wa mwema
Nimefanywa heshima
Ecouter
A Propos de "Nimebadilishwa Jina"
Plus de Lyrics de ANGEL BENARD
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl