Paroles de Sina Noma
Paroles de Sina Noma Par AMINI
Nasema presha inapanda
Kushuka ngoma nishawamba
Pasuka noma imenibamba
Kwa mtima mota ya kitanga kisolola
Mtoto mayonnaise
Umenichanganya changanya
Kweli kamama
nimerealize
Ukweli bila wewe sitakwenda
Hupaki Carolight
Futa la nazi, vazi la kanga
Pasi nyingi kati
Utaratibu usinitengue nyonga
Eti utarudii(rudi ooh)
Naingoja mood honey(mood honey)
Kwako sisemi
Una makusudi jirani
Eti utarudii
Naingoja mood honey
Mgema sigemi
Nachanganya tembo na maji
Mbona sina noma eeh
Mbona sina noma eeh
Mbona sina noma eeh
Mbona sina noma eeh
Kama kamba umenifunga eeh
Fanya uje unifungue mbio mbio
Kama moyo umeuchuja
Kama nazi na wewe ndio chujio
Hata ukisema nalia lia
Mi mwenzako nalilia kasumba eeh
Haya mapenzi nakupenda dear
Yawe real sio movie ya Kanumba eeh
Kama katuni ukinichekea
Mtam tam sio ladha ya mchungwa eeh
Mwendo wako wa kuchechemea
Na Wallahi ameumbwa
Na bado bado oooh
Hebu nyumbulika noshalipa na bima
Bado bado oooh
Hebu tikisa nione na huko nyuma
Eti utarudii(rudi ooh)
Naingoja mood honey(mood honey)
Kwako sisemi
Una makusudi jirani
Eti utarudii
Naingoja mood honey
Mgema sigemi
Nachanganya tembo na maji
Mbona sina noma eeh
Mbona sina noma eeh
Mbona sina noma eeh
Mbona sina noma eeh
Mbona sina noma eeh(sina noma sina mama)
Mbona sina noma eeh(heeh eeeh)
Mbona sina noma eeh(sina noma sina mama)
Mbona sina noma eeh(heeh eeeh)
Ecouter
A Propos de "Sina Noma"
Plus de Lyrics de AMINI
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl