Paroles de Taka Taka
Paroles de Taka Taka Par ALVINDO
Introducing Alvin, aka Alvindo
Magix Enga on the beat
Unakataa Kuwa dem yangu
Naenda kwa Mrogi nakuroga unakufa
Na nakujaa kwa mazishi yako
Kukula na kukunywa
Nikucheke ukizikwa
Unaringaga unaringa nini?
Na sura mbaya ata kuliko mbuzi
Roho chafu kama ya shetani
Unadhaniaga wewe ni nani?
Taka taka taka taka
Mapepo zinakufuata
Sijui ata ni nini niliona kwako
Ata ningejua ningekatia dadako
Taka taka taka taka
Mapepo zinakufuata
Sijui ata ni nini niliona kwako
Ata ningejua ningekatia dadako
Ulinikataa juu ulijua ntakukataa
Ju ka hungenikataa mi ningekukataa
So nikangoja we ndo unikatae first
Coz am a gentleman and ladies go first
But let me tell you something young woman
Apana wekea wanaume roho ya chuma
Ukikatiwa joh kubali kukatika
Ama ukizeeka ndio maringo itaisha
Bure kabisa Na ukwende kabisa
Tuma beshte yako akujie izo nguo ulibakisha
Bure kabisa Na ukwende kabisa
Tuma beshte yako akujie izo nguo ulibakisha
Unakataa Kuwa dem yangu
Naenda kwa Mrogi nakuroga unakufa
Na nakujaa kwa mazishi yako
Kukula na kukunywa
Nikucheke ukizikwa
Unaringaga unaringa nini?
Na sura mbaya ata kuliko mbuzi
Roho chafu kama ya shetani
Unadhaniaga wewe ni nani?
Taka taka taka taka
Mapepo zinakufuata
Sijui ata ni nini niliona kwako
Ata ningejua ningekatia dadako
Taka taka taka taka
Mapepo zinakufuata
Sijui ata ni nini niliona kwako
Ata ningejua ningekatia dadako
Kukupenda ndio mi huregretingi tu sana
Hata natamaningi hatungewai patana
Unaishi maisha fake na umejaa tu madrama
Ata nashukungu uliwachiangwa laana
Mara ati leo unaitwa Natasha
Kesho umechange jina unaitwa Soni
Leo uko single kesho ukona bwana
Mara unaishi Ronga mara unaishi doni
I even suspected you are a criminal
Na kama we ndo dem acha nikae hivo
Staki ata mwingine acha nikufe single
Umeniacha na chronic bachelor syndrome
Unakataa Kuwa dem yangu
Naenda kwa Mrogi nakuroga unakufa
Na nakujaa kwa mazishi yako
Kukula na kukunywa
Nikucheke ukizikwa
Unaringaga unaringa nini?
Na sura mbaya ata kuliko mbuzi
Roho chafu kama ya shetani
Unadhaniaga wewe ni nani?
Taka taka taka taka
Mapepo zinakufuata
Sijui ata ni nini niliona kwako
Ata ningejua ningekatia dadako
Taka taka taka taka
Mapepo zinakufuata
Sijui ata ni nini niliona kwako
Ata ningejua ningekatia dadako
(Fast Cash Records)
Ecouter
A Propos de "Taka Taka"
Plus de Lyrics de ALVINDO
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl