Iwake Lyrics
Iwake Lyrics by EKO DYDDA
Holy ghost fire ndani ya nyumba na iwake
Mwaki ndani ya nyumba na iwake
Moto ndani ya nyumba na iwake
Fireeeeeee....
Iwake, na iwake
Iwake, na iwake
Iwake, na iwake
Mi ndio pedi hapa buda na iwake
Iwake, na iwake
Iwake, na iwake
Iwake, na iwake
Mi ndio pedi hapa buda na iwake
Pita hadi Zimmerman
Weed haitoshi buda hadi zima man
Lighter haina moto buda zima man
Holy ghost fire ndani ya nyumba na iwake
Pepea kama kinda man
Fly kama mtoto wa nyonde kinda man
Pewa injili hakuna kukinda man
Ka disciple kwa kichwa na moto yake iwake
Akina John, akina Luke
Akina Mark, akina Peter
Akina Mathew, akina James
Akina you, akina me
Aki nigeria akina ukwa
Hahaha moto ya Yesu hapa na iwake
Iwake, na iwake
Iwake, na iwake
Iwake, na iwake
Mi ndio pedi hapa buda na iwake
Holy ghost fire ndani ya nyumba na iwake
Mwaki ndani ya nyumba na iwake
Moto ndani ya nyumba na iwake
Fireeeeeee....
Iwake, na iwake
Iwake, na iwake
Iwake, na iwake
Mi ndio pedi hapa buda na iwake
Hahaha nakupenda na heart lungs pia na Kidney
My heart runs, kufuata ma victory
Yesu kwangu ndio bigdeal
Hii ni temple ya most high na si woishee
Siwezi kula mogoka na si ngwashee
Mi ni Yuda ameokoka na siko ashamed
Grace ya God ni sufficient itanitoshea
Wahenga walidai akili ni nywele
Rufftone akasema shinyanga shiwere
Na kuna yut anasema ati chang'aa ni vere
Aftermath unakonda unakosa nywele
Kando ya Yesu natulia tuli man
Baraka inanifollow ka kivuli man
Sivuti shada maua mi sikuli man
Ka ni kuchanuka mi mshamba mkulima
Iwake, na iwake
Iwake, na iwake
Iwake, na iwake
Mi ndio pedi hapa buda na iwake
Holy ghost fire ndani ya nyumba na iwake
Mwaki ndani ya nyumba na iwake
Moto ndani ya nyumba na iwake
Fireeeeeee....
Iwake, na iwake
Iwake, na iwake
Iwake, na iwake
Mi ndio pedi hapa buda na iwake
Na iwake
Na iwake
Na iwake
Mi ndio pedi hapa buda na iwake
Watch Video
About Iwake
More EKO DYDDA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl