Katikati ya Miungu by EFRAIM EZEKIEL Lyrics

Katikati ya Miungu hakuna Mungu kama wewe Mungu kama wewe
Katikati ya Miungu hakuna Mungu kama wewe 
Mungu kama wewe Mungu kama wewe
Baba 
Yesu
Baba 
Yesu 
Roho 

Katika ya mataifa yote sijaona Mungu kama wewe

Katika ya masitu yote sijaona mtenda miujiza kama wewe

Hakuna kama wewe Mungu wa Eliya Ooh
Hakuna kama wewe Mungu wa Isaka Ooh
Mungu wa Danieli Hakuna kama wewe

Music Video
About this Song
Album : KatiKati Ya Miungu (Single),
Release Year : 2014
Copyright : ©2014
Added By: Trendy Sushi
Published: Mar 08 , 2020
More Lyrics By EFRAIM EZEKIEL
Comments ( 0 )
No Comment yet
Leave a comment