Quarantine (Parody) Lyrics
Quarantine (Parody) Lyrics by DOGO CHARLIE
Now niko kwa canteen
Kwa canteen Kwa canteen
Muuzaji wa canteen
Now niko kwa canteen
Kwa canteen Kwa canteen
Nauzanga kwa canteen
On the left, to the right
1,2,3,4 mko 5
My Name is Dogo Charlie
Nyanya wacha zako na ujidai
Now niko kwa canteen
Kwa canteen Kwa canteen
Muuzaji wa canteen
Now niko kwa canteen
Kwa canteen Kwa canteen
Nauzanga kwa canteen
On the left, to the right
1,2,3,4 mko 5
My Name is Dogo Charlie
Nyanya wacha zako na ujidai
Kwanza Shika
Kisu nikama unanikata
Kwa nyama nawekwa
Kwa sausage Yai na Samosa
Sometimes naboeka, kwa canteen
Mkinibuy nacheka, kwa canteen
Kwa nyumba ninapelekwa, kwa canteen
Siringi nikikarangwa, kwa canteen
Now niko kwa canteen
Kwa canteen Kwa canteen
Muuzaji wa canteen
Now niko kwa canteen
Kwa canteen Kwa canteen
Nauzanga kwa canteen
On the left, to the right
1,2,3,4 mko 5
My Name is Dogo Charlie
Kitunguu wacha zako na ujidai
Niko na taste ile safi
Kila time kwa chakula hunikosi
Ukinikata ni uchokozi
Nitarevenge utatokwa na machozi
Ukinifry, fry fry fry
Rangi ina turn, turn turn turn
Leta oil unikarange
Ah, oil unikarange wewe
Now niko kwa canteen
Kwa canteen Kwa canteen
Muuzaji wa canteen
Now niko kwa canteen
Kwa canteen Kwa canteen
Nauzanga kwa canteen
On the left, to the right
1,2,3,4 mko 5
My Name is Dogo Charlie
Cabbage wacha zako na ujidai
Me hufeel good when i’m fried
Nikipakuliwa na ka stew
Ya mayai, ya samaki
Mimi ndo baba yao coz i’m white
I’m very sweet ohh
Cabbage cabbage cabbage
Nikikarangwa na Royco
Cabbage cabbage cabbage
Kwa canteen ya Dogo mi ndo ni chizi, chizi
Nami jina langu naitwa Ndizi, ndizi
Ukiskia Nyaboke take it Easy, chizi
Ju shemeji zangu wanaishi Kisii
Si nimeiva, si si nimeiva
Ona ona si nimeiva
Si nimeiva, si si nimeiva
Ona ona si nimeiva
Now niko kwa canteen
Kwa canteen Kwa canteen
Muuzaji wa canteen
Now niko kwa canteen
Kwa canteen Kwa canteen
Nauzanga kwa canteen
On the left, to the right
1,2,3,4 mko 5
My Name is Dogo Charlie
Ndimu waccha zako na ujidai
Eat me eat me, put me sugar eat me
I’m so bitter not that sweet
Put me sugar eat me
See see look at me
Nyam nyam nyam, nyam nyam nyam
See see look at me
Nyam nyam nyam, nyam nyam nyam
Dogo amemkata wawawa wa
Aiyaiyayaiya ahh
Aiyaiyayaiya ahh
Dogo Amemkata
Watch Video
About Quarantine (Parody)
More DOGO CHARLIE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl