DOGO CHARLIE Dusuma Parody (Otile Brown Ft Meddy) cover image

Dusuma Parody (Otile Brown Ft Meddy) Lyrics

Dusuma Parody (Otile Brown Ft Meddy) Lyrics by DOGO CHARLIE


(Tricky sana entertainment)
Ni Dogo Charlie
Mfalme wa parody nah nah nah
Master productions

Uji is the best for me yeah mama
Hio uji iko sawa sana
Una macho kubwa kama pineapple
We baby ukiniangalia nitatoroka mimi

Acha ujinga Charlie, sawa
Acha uchokozi, pole basi
Mi napika ugali
Dollie si uharakishe

Umekuja juu ni lunchtime 
(Eeh ju ni lunchtime)
Huwezi stay for a long time 
(Niko for a long time)

Koroga ugali to the left (I Know)
To the right (I know)
Zungusha mwiko (Eeh ninajua)
Si upike basi

Ugali yangu ni tamu
Tukikula nitajua
Ugali kubwa kabisa
Tunakula mboga gani?

Sukuma, Sukuma fry ni mboga tamu
Sukuma, Two plates for me Dogo Charlie
Sukuma, Sukuma fry ni mboga tamu
Sukuma, Two plates for your baby boo eeh

Ulivyopika bila kuichemsha
Sukuma tamu sana kushinda nyama
Yangu yako tukule pamoja
Girl tushibe wote

Umeipika bila kuichemsha
Sukuma tamu sana kushinda nyama
Yangu yako tukule pamoja
Girl tushibe wote

Ni tamu baibe, ni tamu for real
Ni tamu baibe, mpaka nalamba sahani
Ni tamu baibe, ni tamu for real
Ni tamu baibe, mpaka nalamba sahani yeah

Umeipika umeipika kabisa
Chakula chako kimeweza
Umeipika umeipika kabisa
Ni tamu iyeee

I can't breath, ulivyoshiba tumboni
I can't breath, ni kama uko na boli
I can't breath, ulivyoshiba tumboni
I can't breath, ni kama uko na boli

Koroga ugali to the left (I Know)
To the right (I know)
Zungusha mwiko (Eeh ninajua)
Si upike basi

Ugali yangu ni tamu
Tukikula nitajua
Ugali kubwa kabisa
Tunakula mboga gani?

Sukuma, Sukuma fry ni mboga tamu
Sukuma, Two plates for me Dogo Charlie
Sukuma, Sukuma fry ni mboga tamu
Sukuma, Two plates for your baby boo eeh

Sukuma fry iyee
Na ugali white aha
Sukuma fry ni tamu yeah

Watch Video

About Dusuma Parody (Otile Brown Ft Meddy)

Album : Dusuma Parody (Otile Brown Ft Meddy) (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Oct 09 , 2020

More DOGO CHARLIE Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl