Acha Nimumunyako Lyrics by DEZ KURU


Acha nimumunyako njugu kwanza nichape
Leta hio makali bila glasi tukate
Wengine zimeshika wanapigana mamate
Mathwiti na makeki buda mbona usitake
Mzinga tukate

Makeki wamepull up kama thirty
Ni party after party ata stima tu wakate
Za toto zimenyc ananishika mashati
Mgodo mgodo shtukia mkono kwenye panty

Kuna joto na nimewekwa katikati
Watoto wanalia wananipenda kwa dhati
Wananisahau siku nilikuwa searching
Narusha vibes  buda naekwa pause

Kuru's partying
Mabluetick kila time niko chatting
Aha love like it's nothing
Funny how we came up, dollar dollar money
Now we blowing up always haters still yapping
Started down low now we done the shit to something
Mzinga nichape, 
Let's make a toast for the niggas that made it happen

Acha nimumunyako njugu kwanza nichape
Leta hio makali bila glasi tukate
Wengine zimeshika wanapigana mamate
Mathwiti na makeki buda mbona usitake
Mzinga tukate

Aki anko nimeoneko, kanjugu nipeeko nionjeko
Si we ni mtuku, pole joo hii ni ya jaba inaisha
Na sai ni saa sita na mashop zishatingwa
B bingwa jina kubwa kama Big Show
Na slay muhudumu ongeza glass glass
Very fast wasanii walishapass first class
A plus.

Ni mswak wanadiscuss kama tuko in touch ama tulizimwa
Si tuko wima ju mic tulishikaga sana
Cheki blisters, keep distance hii zone ni ya fikra
Ju huwa zimeshika kama swat na sufuri
Turi kazi ni kujipa mashughuli, uiii

Acha nimumunyako njugu kwanza nichape
Leta hio makali bila glasi tukate
Wengine zimeshika wanapigana mamate
Mathwiti na makeki buda mbona usitake
Mzinga tukate

Nimeland na kibeng, huwezi risk hii mbogi ni risky
No frisking si mbogi ya mafisi
Ka unapenda zile tam hii ni blunder
Bado tukicheza magizani siwezi tamper
Luku fine kujaza tu ka bumper
Nanga nazo zinacheza tu tukisamba
Umenibamba mi nadai namba
Kunimada na luku zako fina

Hii ni major si Maina Kageni au Maina
Uliza hadi minor
Hii ni major si Maina Kageni au Maina
Uliza hadi minor

Yes bana, hizo challenge mi hutanipata nikifanya
Kila siku mboka si kutrace hao madranya
Kwela wako loose jo hunadhani nina spanner
Kwela wako loose kama jegi za Kibanja
Acha nimumunyeko ndo nikuje kwa kiwanja
Acha makelele nitakuseti kwa kiranja
Hakuna za macandle labda ni kuseti ganja
Umeiva kweli ama umejipaka wanja

Usiniletee hio haga ka si size ya mneti
ID is a must ndio nijue uko 20
Kuja ka umeoga ndio nikupe chuma length thick
Ukipita mtihani nakushikia PUMA Fenty
Na game yako chini utafanya nikuchape
Sichezi ligi ndogo mi nacheza kigi mbape

Acha nimumunyako njugu kwanza nichape
Leta hio makali bila glasi tukate
Wengine zimeshika wanapigana mamate
Mathwiti na makeki buda mbona usitake
Mzinga tukate

Watch Video

About Acha Nimumunyako

Album : Acha Nimumunyako (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020 Bridge Records.
Added By : Huntyr Kelx
Published : Feb 20 , 2020

More DEZ KURU Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl