Asante Lyrics

DAMIAN SOUL Feat BARNABA Tanzanie | Gospel,

Asante Lyrics


Baba umenipendelea
Kweli waniwazia mema
Usiku na mchana Yaweh
Wala hujawai kusinzia
Vita wanishindia
Tena kama wee sijaona

Kwa neema yako
Umenibariki nami na ishi
Kwa matendo yako
Sitochoka kuimba sifa zako

Kwa neema, Kwa neema  yako
Umenibariki nami na ishi
Kwa matendo yako
Sitochoka kuimba

Asante ninakushukuru (Ninakushukuru)
Asante wewe ni mwema (Wewe ni mwema)
Asante umenibariki Baba (Umenibariki)
Asante Mungu wa Rehema (Mungu wa Rehema)

Ooh Baba ni mwema (mwema)
Ni mwema (mwema)
Mwema sana (mwema Baba)
Ni mwema, mwema sana Baba
Ooh Baba ni mwema
Ni mwema
Mwema sana eeh Jehovah
Mwema sana Baba eeh yeah

Wengine walienda
Ila hawakurudi Baba
Ila nilirudi kwa mkono wako Jehovah (eeeh)
Wengine walienda
Ila hawakurudi Baba
Ila niliaga nyumbani na nikarudi Baba

Kwa neema yako
Umenibariki nami na ishi
Kwa matendo yako
Sitochoka kuimba sifa zako
Kwa neema yako
Umenibariki nami na ishi
Kwa matendo yako
Sitochoka kuimba

Asante ninakushukuru (ninakushukuru)
Asante wewe ni mwema (wewe ni mwema)
Asante umenibariki Baba (umenibariki)
Asante Mungu wa Rehema (Mungu wa Rehema)

Ooh Baba ni mwema (mwema)
Ni mwema (mwema)
Mwema sana ( mwema Baba)
Ni mwema, mwema sana Baba

Ooh Baba ni mwema
Ni mwema
Mwema sana (oooh Jehovah)
Eeh Jehovah

Oooh ni leo ,leo .... Leo leo leo
Ni leo, ni leo, ni leo
Oooh ni leo , leo .... Leo leo leo
Ni leo, ni leo, ni leo

DAMIAN SOUL (2 lyrics)

Damian Soul is a musician, songwriter, guitarist, singer, producer &composer.

Leave a Comment