Niwe Nawe Lyrics
Niwe Nawe Lyrics by CHANDELIER DE GLOIRE
Tuwe nawe Yesu wakati wote tuko apa
Onekana Yesu kwa kila jambo twaku omba
Tuwe nawe Yesu wakati wote tuko apa
Onekana Yesu kwa kila jambo twaku omba
Sema ewe Yesu tuna ngoja neon lako apa
Tuku ishi ewe Yesu ndio ombi letu tuna ku sihi

Uwepo wako utawale tuone nguvu zako
Ishara zi tendeke tu shuudiye uwezo wako
Uwepo wako utawale tuone nguvu zako
Ishara zi tendeke tu shuudiye uwezo wako
Uwepo wako utawale tuone nguvu zako
Ishara zi tendeke tu shuudiye uwezo wako
Eeeh bwanaaa
Eeeh bwanaaa
Eeeh bwanaaa
Eeeh bwanaaa
Funguwa mbingu zako eeh bwana
Na tuku one gisi ulivyo
Utukufu wako utu tawale eeh
Mwanga wa mbingu utu angaze

Watch Video
About Niwe Nawe
More CHANDELIER DE GLOIRE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl