Milele Lyrics
Milele Lyrics by CAPPUCCINO LBG
Kazi yao ni kuteta mimi nawe hatujali
Walisema watachoka mimi nawe mpaka milele
Tanzo yetu ya mapenzi hawakutaka iendelee
Ona sasa msiba walitutakia
Kwa leo wanashangaa
Mungu ametenda amewakatisha haya
--
Wewe, wewe, wewe
Mimi na wewe mpaka milele
Wewe, wewe, wewe
Mimi na wewe mpaka milele
Wakunipenda wa kunitunza ndo wewe
Mpaka forever yaani milele baby ni wewe
Toto la Nairobi na la bakongo
Amenidatisha mpaka ubongo
Yule amependa na sio uwongo
Nicheze naye dombolo ya solo
Kipendacho moyo nyama
Tamu tuseme sawa
Mapenzi ya Adamu na Hawa
Mimi nampenda sana
Kipendacho moyo nyama
Tamu tuseme sawa
Mapenzi ya Adamu na Hawa
Mimi nampenda sana
-----
-----
Watch Video
About Milele
More CAPPUCCINO LBG Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl