You Lyrics by BRUCE AFRICA


Iyeeeh
Bruce Africa pon this again
Babe yeeh

Imenifika kwa koo
Inanibidi niseme
Ndipo nipone
Pale ulipo baby
Nipe location nisogee
Nije nikuone
Ikishindikana basi nitumie video
Zako za snapchat
You know I like that
Nimekumiss sana macho yakutaka
Video calls hata
Mda ukipata
Nitafurahi nikikuona mwanadada

Your my angel, my queen
Unachotaka mimi sikatai
Juu ni upendo my dear
Unaonipa mi sikinai
Ooh Your my angel, my queen
Unachotaka mimi sikatai
Juu ni upendo my dear
Unaonipa mi sikinai

I miss you eeeh
Nakumiss vibaya damn eeh
I miss you baby
Nakumiss vibaya damn vibayaa

Utani utani wako
Na michezo hunikosha
Fanya urudi upweke unanitesa babe
Uwepo wako kwangu unanitosha babe
Do you miss me
Au mimi baby hukumiss daily daily daily
I’m so crazy
For your love I’m crazy
Baby hukumiss daily daily daily

Your my angel, my queen
Unachotaka mimi sikatai
Juu ni upendo my dear
Unaonipa mi sikinai
Ooh Your my angel, my queen
Unachotaka mimi sikatai
Juu ni upendo my dear
Unaonipa mi sikinai

I miss you eeeh
Nakumiss vibaya damn eeh
I miss you baby
Nakumiss vibaya damn eeh

Your my angel, my queen
Unachotaka mimi sikatai
Juu ni upendo my dear
Unaonipa mi sikinai

Watch Video

About You

Album : You (Single)
Release Year : 2022
Added By : Farida
Published : Dec 20 , 2022

More BRUCE AFRICA Lyrics

BRUCE AFRICA
BRUCE AFRICA
BRUCE AFRICA
BRUCE AFRICA

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl