Kataa Lyrics
Kataa Lyrics by BOBO J
Usibadilishwe na ya dunia
Wakifuata kushoto
Kimbilia kulia
Wakitry kukubadilisha wewe
Kataa kataa kataa
Bora kataa
Kataa kataa kataa
Mitindo ya kidunia imebadilisha wengi tu
Sio vijana na wamama hata na wazee wetu
Uovu unazidi kunoga tu
Umati unafurika jehanamu
Wanakumbatia uongo
Wanakataa ukweli
Walio anza kwa roho
Wanamaliza kwa mwili
Ona sasa(Ona sasa)
Dunia ya sasa(Dunia ya sasa)
Haina huruma hata
Inameza kumeza aah
Ata wachanga(Ata wachanga)
Kama hatari unaiona
Fanya hima
Usibadilishwe na ya dunia
Wakifuata kushoto
Kimbilia kulia hey
Wakitry kukubadilisha wewe
Kataa kataa kataa
Bora kataa
Kataa kataa kataa
Alisema atarudi tena
Amekawia sana mbona?
Hata ishara hakuna
Alituchocha huyu Bwana
Nitavunja mifupa
Kama bado meno ipo
Nitajipanga kama bado muda upo
Bro, walisema hivo
Waliwaza hivo enzi za Nuhu
Ila kama upepo ndivo hivo
Majuto mjukuu
Sio vitisho, hatari ipo
Wewe wangu ndugu
Epuka kifo, shusha mzigo
Mtoto wa Mungu
Usibadilishwe na ya dunia
Wakifuata kushoto
Kimbilia kulia hey
Wakitry kukubadilisha wewe
Kataa kataa kataa
Bora kataa
Kataa kataa kataa
Shika sana ulichonacho we bwana
Asije mtu yeyote akakupokonya
Uhai pigania, yeah aah
Shika sana ulichonacho we bwana
Asije mtu yeyote akakupokonya
Uhai pigania, yeah aah
Usibadilishwe na ya dunia
Wakifuata kushoto
Kimbilia kulia hey
Wakitry kukubadilisha wewe
Kataa kataa kataa
Bora kataa
Kataa kataa kataa
Watch Video
About Kataa
More BOBO J Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl