AGRESSIVO NYANDORO Ana Tshelewa cover image

Ana Tshelewa Lyrics

Ana Tshelewa Lyrics by AGRESSIVO NYANDORO


Hii ni nini kule 
Nyandoro anakuja tena
Wouwo wowowowowo

Anachelewa, chelewa chelewa chelewa
Ukinibenge mie wabuchafu
Au ulande Bongo makopina
Ukinibenge mi ubaya komancho
Au ulande Bongo twende chiva

Uwanja wa bibi huwa mzuri sana
Mebabu anaboto anapata boko wake
Bamajibu bamapendo tele 
Maybe kweli mwenzangu hatuyashiki haka

Uzuri wa mwanamke ni ajuwe kubana ume
Atacheza atacheza tena banduka
Na kumwisho akitafuta kuoa bibi
Napendako atakumpini

Uzuri dada buko na kulanda 
Unachuma ni bakowe kwa ministre
Nashuku miaka iko inapita pita
Yoyoyoyoyo

Mama beka ningekada bala lines babukate
Eeh mabishane
Kuvimba vimba mi ni keda falalians mabukate
Eeh mabishane

Twakupenda my boss, my boss 
My boss, my boss, my boss
Ana Tshelewa, Ana Tshelewa
Ana Tshelewa, Ana Tshelewa

Twakupenda my boss, my boss 
My boss, my boss, my boss
Ana Tshelewa, Ana Tshelewa
Ana Tshelewa, Ana Tshelewa

Ulitafuta hata bakoya kwa Petre
Si unaona leo unachelewa
Unaanza kutoka toka na mabwana bwana
Ya watoto mtaa out yeah

Sare ulo umeemeesha 
Hata mimba bonga ju hashiki hata
Mifano kwa kubenga maisha ya bantu
Sitakujibu nikumarry eeeh

Unikome kome dada wee
Koma koma dada wee (Koma, koma)
Unipige pige macho bie 
Usiniangalie na boka pika bie

Niko mbaya mweusi mkonde
Wewe mzuri mnene mweupe nywee

Halia zangu, halia zangu sioi
Heshima ngu, heshima for me
Ninayo

Mama beka ningekada bala lines babukate
Eeh mabishane
Kuvimba vimba mi ni keda falalians mabukate
Eeh mabishane

Twakupenda my boss, my boss 
My boss, my boss, my boss
Ana Tshelewa, Ana Tshelewa
Ana Tshelewa, Ana Tshelewa

Twakupenda my boss, my boss 
My boss, my boss, my boss
Ana Tshelewa, Ana Tshelewa
Ana Tshelewa, Ana Tshelewa

Another one banger
International one

Unikome kome dada wee
Koma koma dada wee (Koma, koma)
Unipige pige macho bie 
Usiniangalie na boka pika bie

Uzuri dada buko na kulanda 
Unachuma ni bakowe kwa ministre
Nashuku miaka iko inapita pita
Yoyoyoyoyo

Mama beka ningekada bala lines babukate
Eeh mabishane
Kuvimba vimba mi ni keda falalians mabukate
Eeh mabishane

Twakupenda my boss, my boss 
My boss, my boss, my boss
Ana Tshelewa, Ana Tshelewa
Ana Tshelewa, Ana Tshelewa

Twakupenda my boss, my boss 
My boss, my boss, my boss
Ana Tshelewa, Ana Tshelewa
Ana Tshelewa, Ana Tshelewa

Watch Video

About Ana Tshelewa

Album : Ana Tshelewa (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Jul 08 , 2020

More AGRESSIVO NYANDORO Lyrics

AGRESSIVO NYANDORO

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl