Shuga (Mdogo mdogo) Lyrics
Shuga (Mdogo mdogo) Lyrics by ACEY GRACEY
Ooh mdogo mdogo
Ooh mdogo mdogo
Oooh...(Urban Scotch musik)
Nakupenda penda kama sukari
I feel my love for you si kazi
Njoo unitembelee huku Rongai(weekend for you)
Tupige lap kadhaa na masai
Got so much boy ya kusema
Nicall, niflash, nitext am never mteja
Even if it rains, niko stage na umbrella
Nitakungoja hapa tu, sitateta
Oooh, I give you love and shuga
Everything sweet and smooth amarula
I keep it harder or cooler
Step by step I'mma hold on to you
Nitakupeleka mdogo mdogo
Mdogo mdogo
Nitakupeleka mdogo mdogo
Kama mtoto
Ooh nakuona weeh, nakuona weeh
Ooh nakuona weeh, nakuona weeh
Ooh mtaniona naye, mtaniona naye
Ooh mtaniona naye, mtaniona naye
Ooh I will never leave you hanging no
Nitakupa penzi basi for sure
Till you will never ever sumbua
Beiby, ooh wengine hawakuwezi
Wametry kunislice hawawezi
Walijua mimi ujinga huwa sipendi
Ikifika kwako mi sicheziii
I give you love and shuga
Everything sweet and smooth amarula
I keep it harder or cooler
Step by step I'mma hold on to you
Nitakupeleka mdogo mdogo
Mdogo mdogo
Nitakupeleka mdogo mdogo
Kama mtoto
Ooh nakuona weeh, nakuona weeh
Ooh nakuona weeh, nakuona weeh
Ooh mtaniona naye, mtaniona naye
Ooh mtaniona naye
Unajua sitakera
Nina mapenzi sina hela(hela)
Usiniache nitateta
Unajua sitakera
January to December
Usiniache nitateta
Oooh...
Nitakupeleka mdogo mdogo
Mdogo mdogo
Nitakupeleka mdogo mdogo
Kama mtoto
Ooh nakuona weeh, nakuona weeh
Ooh nakuona weeh, nakuona weeh
Mmmh mtaniona naye, mtaniona naye
Ooh mtaniona nayeee
Ooh nakuona weee
Mtima wanje beiby eeeh
Nakukunda my beiby
Nakupenda my beiby
Nakuyanza forever, ooh yeah
Ooh mdogo mdogo
Watch Video
About Shuga (Mdogo mdogo)
More ACEY GRACEY Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl