Ka ni Mtam (Remix) Lyrics by 34 GVNG

Hitman ting hitman ting
Badman ting badman ting
Hitman ting hitman ting

(This time round I will show you my power)
Ka ni mtam, tam tam tam
Ka ni mtam, kam kam kam
Ka ni mtam, tam tam tam
Ka ni mtam, kam kam kam

Na this time round masponyo wataongeza noti
Young man gere mtavua koti
For this kind round itabidi uongeze njoti
Ibeni sperm bank ama muuze ploti

Good gal kitandani bado konki
Ati gudi gudi si maji maji si atoti
Na ka huko rada buda utatoka shoti
Bad gal disease is a badman doki (Ka ni mtam)

Ukibubble baby gal double drouble
Nanga kubwa inabaki watu wanafumble
Tunapiga rap hao wengine ni ma mumble
Hapo nyuma jo umechora tu ki circle

Tingisha hiyo wes mi nadai kuwa wako
Kama haunipei basi baki kwa mamako
Kama adi chokoch mi naget naget a tako
Get a tako, get a tako, get a tako

(This time round I will show you my power)
Ka ni mtam, tam tam tam
Ka ni mtam, kam kam kam
Ka ni mtam, tam tam tam
Ka ni mtam, kam kam kam

Ka ni mtam nampatia za madumbolela
Kama ni chura niko diang'a za mazangalewa
Na zikishika asifike bana kamelewa
Ah Muchiri si unapenda masiri
Niliskia juang'a yako inatoshana na Muchiri
Ana tungi na labda hapa ye ni kifini
We msupa hapa utararuka
Na ukikwara ni mafuta(Ka ni mtam)

Oyoyoyo Annet, oyooyoyo is set
Ayayaya mami, ayayaya anee
Ikus mmh tam asali
Nanyora ndani ndani sweety
Naskia tumbo ni daddy
Papa Wemba big daddy

(This time round I will show you my power)
Ka ni mtam, tam tam tam
Ka ni mtam, kam kam kam
Ka ni mtam, tam tam tam
Ka ni mtam, kam kam kam

Kako na bang bang bang
Masauti ni pang
Ka ni kukubumburusha buda
Rada si kang

Size ni tam jaza sweet kwa bag
Nina walenje kwa mbosho
Doh mabig bataz
Kila isaa anahalla akidai rada

Sema kubeba big tings jo ki baby mama
Call me ras kwenye pori siwezi kosea rada
Kidon dada cheki buda washadata

Kuna vile ningetaka kuku mpaka chee
Mmmh ma nipe nizitaste
Nina dawa ya nyege nishakuspot
Niko high kama mwewe 
Ni kesi venye umenimada kama Hessy
Matheri so daily kwako
Niko mwepesi siteti mpenzi nimechizi crazy
Mchuuzi crazy

(This time round I will show you my power)
Ka ni mtam, tam tam tam
Ka ni mtam, kam kam kam
Ka ni mtam, tam tam tam
Ka ni mtam, kam kam kam

Watch Video

About Ka ni Mtam (Remix)

Album : Ka Ni Mtam (Remix)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020 Bridge Records Ent.
Added By : Huntyr Kelx
Published : Apr 29 , 2020

More 34 GVNG Lyrics

34 GVNG
34 GVNG
34 GVNG

Comments ( 0 )

No Comment yet

See alsoYou May also LikeGet Afrika Lyrics Mobile App

About AfrikaLyrics 

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2021, New Africa Media Sarl