
Nimesogea Lyrics
Nimesogea Lyrics by ZORAVO
Bwana tunalitukuza jina lako
Tunaribariki jina lako Mfalme wa wafalme
Mioyo yetu ina kiu na wewe siku zote
Ili tukuabudu wewe katika uzuri na utakatifu wako
Nimesogea enzini pako
Ninakuabudu
Wewe ni mkuu, wewe ni mfalme
Umeinuliwa
Nimesogea enzini pako
Ninakuabudu
Wewe ni mkuu, wewe ni mfalme
Umeinuliwa
Nimesogea enzini pako
Ninakuabudu
Wewe ni mkuu, wewe ni mfalme
Umeinuliwa
Say
Nimesogea enzini pako
Ninakuabudu
Wewe ni mkuu, wewe ni mfalme
Umeinuliwa
Say bwana wewe
Wewe ni mkuu, wewe ni mfalme
Umeinuliwa
Say
Nimesogea enzini pako
Ninakuabudu
Wewe ni mkuu, wewe ni mfalme
Umeinuliwa
Say bwana wewe
Wewe ni mkuu, wewe ni mfalme
Umeinuliwa
Nimesogea enzini pako
Ninakuabudu
Wewe ni mkuu, wewe ni mfalme
Umeinuliwa
Halleluyah bwana
Twaliinua jina lako takatifu
Halleluyah bwana
Wewe ni mkuu, wewe ni mkuu
Halleluyah bwana
Twaliinua jina lako takatifu
Halleluyah bwana
Wewe ni mkuu, wewe ni mkuu
(Everybody say)
Halleluyah bwana
Twaliinua jina lako takatifu
Halleluyah bwana
Wewe ni mkuu, wewe ni mkuu
Wastahili, wastahili bwana
Wastahili, wastahili bwana
Bwana wastahili, wastahili bwana
Wastahili, wastahili bwana
Wastahili, wastahili bwana
Bwana wastahili, wastahili bwana
(Say wastahili bwana)
Wastahili, wastahili bwana
Wastahili, wastahili bwana
Bwana wastahili, wastahili bwana
(Say wastahili bwana)
Wastahili, wastahili bwana
Wastahili, wastahili bwana
Bwana wastahili, wastahili bwana
Wastahili, wastahili bwana
Wastahili, wastahili bwana
Bwana wastahili, wastahili bwana
Watch Video
About Nimesogea
More ZORAVO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl