Queen of Queens Lyrics
Queen of Queens Lyrics by ZADDY RAYDIO
Queen of Queens..mmh queen of Queens
Siendi kwengine Tena,nishajua kwako ndo nifie
Mbona nijigambe kutwa, sababu nina wee ndo unifae
Hata waniroge,Niko kwako ooh,wanipige mawe
Wataka nitoke,waje kwako ooh,Wakacheze nawe
Ubaya niliyaona Tena nije kwako nije tena kuyaonaa
Wabaya niliwapenda tena waje kwako waje kukuchukuaa
Acha waseme,waseme ah siwachani nawe
Tena wagome,wagome ah mwisho wangu wewe
Queen of queens
Queen of queens, you are mine you are mine
Queen of queens, you are, you are
Queen of queens, baby you fire
Ndoa muda bado,najua naimani,kokote tutafika mbali
Ooh pesa bado,najua naimani,chochote,tutapata honey
Aah nishazama,nikapenda-kwako nishazama kwako wewe
Kwa mama,nimependa, walai nishazama kwako wewe
Ubaya niliyaona Tena nije kwako nije tena kuyaonaa
Wabaya niliwapenda tena waje kwako waje kukuchukuaa
Acha waseme,waseme ah siwachani nawe
Tena wagome,wagome ah mwisho wangu wewe
Queen of queens
Queen of queens, you are mine you are mine
Queen of queens, you are, you are
Queen of queens, baby you fire
Onana nah nah , naah nah
Onana nah nah , naah nah
Onana nah nah , naah nah
Onana nah nah , naah nah
Ubaya niliyaona Tena nije kwako nije tena kuyaonaa
Wabaya niliwapenda tena waje kwako waje kukuchukuaa
Queen of queens
Queen of queens, you are mine you are mine
Queen of queens, you are, you are
Queen of queens, baby you fire
Watch Video
About Queen of Queens
More ZADDY RAYDIO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl