Tikisa Lyrics
Tikisa Lyrics by YOUNG LUNYA
Switch
Bonge la beat kutoka kwa
(Ammy)
Mi nafanya wanatikisa, tikisa
Mi nafanya wanatikisa, tikisa
Mi nafanya wanatikisa, tikisa
Mi nafanya wanatikisa, tikisa
Mi ndo nafanya wanatikisa vichwa, tikisa vichwa
Mi ndo nafanya wanatikisa vichwa, tikisa vichwa
Mi ndo nafanya wanatikisa vichwa, tikisa vichwa
Mi ndo nafanya wanatikisa vichwa, tikisa vichwa
Yeah, show kali Coachella
Mi najua pesa like am bank teller
Huwezi kuniendesha mi mwenyewe msela
Nikimwaga pesa get your umbrella
Like all my fellas don't get out
Ninawamega ya kisela sitoi hela
Ninawakabia kwa juu sitoi penalt
Nachana utasema sichani tena
Hii hapa sele kampa kampa tena
Pia hapa kwatatamba tamba tena
Kuwasema si twawavisha chanda chema
Vyema akifika tutachamba vyema like
Oooh my, nikipita like ooh my
Kumi na sita like fourty plus
Tunawatisha like am Fortnite
Tunakanukisha like mnyonge sikai
Noma, siwachekei nawapa homa
Kwenye beat shida vurumai
Lakini vita yaani you and I
Wasionipenda naskia 'Huyu nae?'
Mi nafanya wanatikisa, tikisa
Mi nafanya wanatikisa, tikisa
Mi nafanya wanatikisa, tikisa
Mi nafanya wanatikisa, tikisa
Mi ndo nafanya wanatikisa vichwa, tikisa vichwa
Mi ndo nafanya wanatikisa vichwa, tikisa vichwa
Mi ndo nafanya wanatikisa vichwa, tikisa vichwa
Mi ndo nafanya wanatikisa vichwa, tikisa vichwa
Usione ifike watu wana bang bang
You know I be rocking with my gang gang
Leta mkwanja kwanza tusebenze
Hatutaki umbea walambishe za kiseng*
Woah, I told Lunya go get this beat
Money money Yebo in this beat
Yeah boy and we run this streets
Bunduki ishanikoki boy(Tu tu tu)
Vichwa vina bang like woo
Am with the baddest you'll know
Maboy go get that doh
Money where? Yes we go
Kushinda shinda, sky go pigo pigo
Mmbea izamishe kwangu, mmh-mmmh yeah
Mi nataka money, yeah michoro money
Ready, ready yeah true true(woah)
Na hatujawai kuigiza, yes we believers
There is no one who wanna fake
Mpaka umepitiliza
Kill a bitch who dug a pizza
Marble back to pizzo, kiende kwangu
Oh Jesus
Usiulize kuhusu pambo wala flows
Where the swag drops on to feature
Me ndo toss lao, king lao
Kwenye show zao
Mi nafanya wanatikisa, tikisa
Mi nafanya wanatikisa, tikisa
Mi nafanya wanatikisa, tikisa
Mi nafanya wanatikisa, tikisa
Mi ndo nafanya wanatikisa vichwa, tikisa vichwa
Mi ndo nafanya wanatikisa vichwa, tikisa vichwa
Mi ndo nafanya wanatikisa vichwa, tikisa vichwa
Mi ndo nafanya wanatikisa vichwa, tikisa vichwa
Watch Video
About Tikisa
More YOUNG LUNYA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl